lugha

  1. Wajuzi wa Injili hii 7x70 kwa lugha yao iliandikwaje

  2. Matangazo ya Mpira wa Miguu Tanzania: Uhitaji wa Tafsiri ya Lugha ya Ishara kwa Watu Wenye Ulemavu wa Kusikia

    Ligi Kuu ya Mpira wa Miguu Tanzania inatangazwa kupitia AzamTV, ikiwahudumia mashabiki wengi wa mchezo huu. Mechi kubwa kama vile Simba dhidi ya Yanga pamoja na na michezo ya kimataifa huvutia sana umati mkubwa na kutoa burudani ya kipekee. Hata hivyo, watu wenye ulemavu wa kusikia wananyimwa...
  3. H

    Watanzainia tuilinde lugha yetu ya Kiswahili, Wakenya wanaiharibu sana!

    Habarini wadau, Hakuna ubishi kuwa Tanzania ndiko asili ya Lugha ya Kiswahili sanifu na fasaha na siyo Kenya. Wakenya wamekuwa ta tabia ya kuzungumza Kiswahili kwa kukitafasiri moja kwa moja kutoka kiingereza na kukifanya kisiwe na mvuto na kuleta maana tofauti. Mfano:- "But nyinyi wasani...
  4. Mwanamke hata kabla hujamtongoza anakuwa amesha tambua lengo lako kupitia lugha ya macho

    ikitokea umekutana na mwanamke akakuvutia kwa mara ya kwanza na ukamtazama directly machoni/usoni. Basi tambua ubongo wa huyo mwanamke unaanza kukudescribe papo kwa hapo kama unafaa kuwa nae au hufai, na baadae huyo mwanamke hukaa na kukufikiria kisha atajipa jibu yeye mwenyewe kama ni YES au...
  5. A

    KERO Lugha za baadhi ya madalali wa nyumba mitandaoni hazina maadili na huweza kuleta athari kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii

    Mitandao ya kijamii imekuwa na athari kubwa kwa watumiaji zikiwemo zenye matokea chana na zingine matokea hasi. Moja wapo ya manufaa chana ni namna ambavyo mitandao ya kijamii imesaidia utangazaji wa biashara mbalimbali mitandaoni na upatikanaji wa bidhaa mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii...
  6. Walimu wa kiswahili chukueni hatua kabla hatujaondoa ladha ya kiswahili chetu

    Binafsi sio Mwalimu kwa taaluma lakini Huwa nafundisha wanafunzi Masomo ya ziada baadhi ya nyakati. Katika wanafunzi nilonao wengi hawajui matumizi sahihi ya herufi na matamshi yake. Mtu yupo darasa la 4 , la 5 na kuendelea , unajiuliza inamaana shuleni hawafundishwi na walimu wa kiswahili...
  7. Nimempata mwanamke wa kizungu ila lugha haipandi nifanyeje?

    Manzi katokea kunielewa. Kaniomba namba yangu ya whatsp nimempa juzi karudi kwao london nachat nae ila ile kilugha ya kidato sometime ananiuliza naishia kukaa kimya sometime nagoogle dictionary ndio nimjibu yaani nashindwa hata kumwambia bongo pagumu nitumie hela nifanyeje wakuu,
  8. BahariPesa: Matumizi Mabaya ya Taarifa za Watu na Lugha za Matusi

    Kwa muda mrefu sasa,Kampuni ya Ukopeshaji Pesa ya Mtandaoni ijulikanayo kama BahariPesa imekuwa na Tabia ya Kutoa siri za wateja wao hasa wale wanaodaiwa na kutuma taarifa zao kupitia namba za watu wengine bila kuwahusisha watu hao pindi wanapotumiwa taarifa hizo. Pamoja na BahariPesa licha ya...
  9. Vijue Vitabu vilivyotafsiriwa katika Lugha nyingi Duniani

    1. Biblia Idadi ya Lugha: Zaidi ya 3,600 (kwa sehemu au kitabu kizima). Maelezo: Kitabu cha kidini cha Ukristo kinachojumuisha Agano la Kale na Agano Jipya. Biblia imechapishwa kwa lugha nyingi zaidi kuliko kitabu chochote duniani. --- 2. Qur'an Idadi ya Lugha: Takriban 200. Maelezo...
  10. R

    "Eimeeenn!" ni neno ni la lugha gani?

    Haya makanisa yanayoota kama uyoga yanayojiita ya kiroho yana vituko achilia mbali hiyo miujiza feki. Eimeen ni neno la lugha gani? Siyo neno halisi katika lugha mama za biblia.
  11. Natafuta mtu wa Kutafsiri lugha ya Kihadzabe kwenda Kiswahili

    Habari !!! Natafuta mtu anayeweza kutafsiri lugha ya Kihadzabe kwenda Kiswahili !!! Nitafte: 0683535699 kwa maelewano.
  12. Wasomi wa Lugha ni Wana tabia mbaya sana

    Msomi mmoja amewahi kusema Lugha ya kiswahili inamisamiati michache hivyo inakuwa ngumu kutafsiri vitabu vya Lugha zingine. Huu Nauita ni upumbafu kwa sababu lugha inakua na kubadilika kila wakati. Mabadiliko haya yanaweza kutokana na mambo mbalimbali kama vile maendeleo ya teknolojia...
  13. S

    Tatizo la lugha kwa waandishi wa habari; Gazeti la Guardian la IPP Media ladokeza kwamba Joseph Kabila, Kikwete, Uhuru Kenyata hawapo tena duniani!

    Katika makala yake kuonyesha muda mrefu ambao Raisi Yoweri Museveni wa Uganda amekaa madarakani, gazeti la Guardian limeandika kwa namna ya kuonyesha watu kadhaa waliokuwa maraisi hawapo tena duniani, wakati bado wako hai! Haya ndiyo waliyosema Guardian. Museveni surpasses 18 EAC counterparts...
  14. Lugha ya Kiswahili imeongezwa kwenye huduma za Tafsiri, Utafutaji wa Sauti na GBoard kupitia Google

    Kiswahili kimekuwa kati ya Lugha 15 za Afrika zilizoongezwa kwenye huduma za 'Voice Search', Kuandika kwa Sauti kwenye Gboard pamoja na huduma ya Kutafsiri Lugha nyingine kupitia 'Google Translate'. Nchini Kenya na Afrika Mashariki, Google inasema inapanua toleo lake kwenye Utafutaji wa Sauti...
  15. Lugha na mchango kwenye ufikiri

    Lugha ni nyezo ya mawasiliano ambayo imekuwa na msaada mkubwa kwenye maisha ya binadamu kwenye maendeleo yake katika kila nyanja iwe ni kiuchumi, kisiasa kisaioilojia kisayansi, binadamu katumia lugha kusambaza elimu na maarifa na mengine mengi ila unajua kuwa lugha inamchango mkubwa kwenye...
  16. Kwa wataalam wa lugha hii imekaaje

    Sina maneno nimeona hii statement nikashangaa kiingereza cha siku hizi Hamisi Kigwangala anawezaje kuwa "..her" soma hapa chini Hamisi Kigwangalla is astonished by this confidence. Hamisi Kigwangalla handed her smartphone to Jenerali Ulimwengu, who then signed up for the project at...
  17. B

    UZi MAALUMU kwa ajili ya kusalimiana kwa lugha za makabila yetu

    Nianze na kabila langu kubwa la wasukuma "mwangaroka bhadugu bhane" "Yani habari zenu ndugu zangu" Tuendeleze Sasa makabila mengine kwa salamu....
  18. Z

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali; zoezi la kutafasiri sheria zote kwa lugha ya Kiswahili kukamilika mwezi Novemba.

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema kuwa zoezi lililo kuwa linaendelea la kuzitafasiri sheria mbalimbali kutoka lugha ya Kiingereza kwenda kwenye lugha ya Kiswahili zoezi hilo litakamilika Mwezi Novemba mwaka huu 2024. Sisi wananchi tunaipongeza Wizara ya Katiba kwa kazi nzuri inayo ifanya...
  19. Madereva wanaotumia lugha chechefu kwa abiria waonywa, wasio na sanduku la dharura wapigwa faini

    Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini limewataka madereva kufuata sheria za Usalama Barabarani ambapo limewataka madereva hao kutoa lugha nzuri na rafiki kwa abiria Pamoja na kuongea nao kabla ya safari kuanza huku likiwapiga faini madereva ambao hawana sanduku la dhalula...
  20. M

    Wasafibet kitengo chao cha Huduma kwa Wateja kinawaharibia kwa kutoa lugha chafu na kuibia wateja!

    Mimi ni mteja mzuri tu wa betting companies( ambaye sometimes nabet mpaka 40M kwa mwezi). Miezi kadhaa iliyopita nilihamia Wasafibet baada ya kuona wanatoa odds nzuri na mechi nyingi zaidi in play na app yao ni user friendly( kwa hilo nawapongeza na kuwapa maua yao). Kinachonitatiza ni kitengo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…