Habari wakuu,
Nimekuwa nikijiulza hivi sayansi ya lugha duniani ikoje, mbona duniani lugha ni nyingi ila kuna maneno ambayo kila taifa lazma wawe nayo na maana Ni moja.
Utakuta watu wa Asia kama waarabu, waajemi yani wahindi, Malaysian, Indonesian n.k wanaingiliana sana maneno kwenye lugha zao...