Mfanyabiashara Saidi Lugumi ( @lugumisaidi ) hapo jana November 23 ameendeleza utamaduni wake wa kusaidia Watu wenye mahitaji kwa kujumuika na Watoto yatima wa Vituo vitano nyumbani kwake Masaki Dar es salaam ambapo awamu hii amewakusanya zaidi ya Watoto 700 na kufanya ibada, kula, kunywa na...