lugumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vyombo vya Habari Tanzania vyawekwa Mfukoni mwa Lugumi. Taarifa zake za Ufisadi zaondolewa Mitandaoni

    Salaam Wakuu, Tanzania tuna safari ndefu sana. Tulitegemea Vyombo vyetu vya Habari na hizi online TV wawe mbele kwa uzalendo kwa kutetea Nchi. Lakini wanatumikia Mafisadi. Nimetafuta Video za Ufisadi wa Lugumi, zote zimeondolewa Mitandaoni. Ni aibu kwa TEF, na MISA-TAN na Washika dau waao...
  2. Lugumi akabidhi jengo la ghorofa 7 kwa watoto

    WATOTO ZAIDI YA 800 WAJENGEWA GHOROFA SABA ZA KUISHI DSM Watoto yatima zaidi ya 800 katika Mkoa wa Dar es Salaam wamejengewa ghorofa saba za kuishi ili kuhakikisha kundi hilo la watoto linaishi sehemu nzuri kwa ajili ya malezi yaliyo bora Ghorofa hizo zimejengwa na Mfanyabishara nchini...
  3. S

    Sakata la Kampuni ya Lugumi: IGP na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani watupiana mpira

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini,Ernest Mangu na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya ndani,Jaji Meja Jenerali Projest Rwegasira, wameripotiwa kutupiana mpira kuhusu kuhusu ni nini kimesababisha kutokuwasilishwa kwa mkataba huo kwa kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali siku ya jana. Mangu anasema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…