luhaga bungeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tetesi: Luhaga Mpina kupewa nafasi iliyoachwa na Lissu kwenye kamati Kuu ya CHADEMA

    Wakuu hamjamboni nyote... Nadhani wote mnamfatilia Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa na Kada Kindakindaki wa Chama Cha Mapinduzi, Namna anavyozungumzia uongozi uliopo wa CCM na serikali kwa mtazamo hasi. Kwa namna na minajili hiyo na kwa mfumo wa CCM ni wazi hataweza kukubalika kuendelea na...
  2. K

    Ushauri wangu kwa Luhaga Mpina

    Namshauri Mhe. Mpina kwa kuwa Mhimili wa Bunge umechukua hatua dhidi yake kwa uamuzi wa kutokuhudhuria vikao 15 ni vema yeye akakaa kimya na akimaliza adhabu yake yeye atarudi Bungeni na kuendelea na majukumu yake kama Mbunge ndani ya Bunge. Nashauri asishindane na Serikali. Kuna msemo...
  3. Je, hii ni hotuba ya mwisho ya Mpina?

    Ni dhahiri kuna hali ya kukata tamaa kabisa kwa muungwana huyu kuendelea kua mbunge, kuna kitu amehisi mpaka kujikuta na kujiita amekua mbuzi wa kafara. Hasira na mambo mengi aliyoyahifadhi moyoni kwa muda mrefu, kwa unyonge na masikitiko makubwa anafunguka, akiwa na sura ya hofu, na lugha ya...
  4. Picha: Luhaga Mpina akiondoka Bungeni akitazamwa na Bashe. Je, kamuachia Mungu?

    Picha ya Mhe. Luhaga Mpina akiondoka Bungeni akitazamwa na Bashe kwa woga. Je, Mpina kamuachia Mungu? Refer issue ya Musiba.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…