luhaga joelson mpina

Luhaga Joelson Mpina (born 5 May 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kisesa constituency since 2005. He was the Minister of Livestock and Fisheries for 3 years in the Magufuli cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. Tetesi: Luhaga Mpina kupewa nafasi iliyoachwa na Lissu kwenye kamati Kuu ya CHADEMA

    Wakuu hamjamboni nyote... Nadhani wote mnamfatilia Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa na Kada Kindakindaki wa Chama Cha Mapinduzi, Namna anavyozungumzia uongozi uliopo wa CCM na serikali kwa mtazamo hasi. Kwa namna na minajili hiyo na kwa mfumo wa CCM ni wazi hataweza kukubalika kuendelea na...
  2. Mpina afungua kesi dhidi ya Spika wa Bunge, Waziri wa Fedha, Waziri wa Kilimo, Kamishna wa TRA, AG na Makampuni ya kuagiza Sukari

    Mpina awafungulia kesi Spika wa Bunge, Waziri wa Fedha, Waziri wa Kilimo, Kamishna wa TRA, AG na Makampuni yaliyopewa tenda ya kuagiza Sukari Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina amefungua kesi mbili Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ambapo kesi ya kwanza ni dhidi ya Spika ambapo anahoji juu...
  3. S

    Soma: Taarifa ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge tuhuma dhidi ya Luhaga Joelson Mpina kudharau mamlaka ya Spika, Bunge

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA TAARIFA YA KAMATI YA HAKI, MAADILI NA MADARAKA YA BUNGE KUHUSU:- 1. MAONI YA KAMATI KUHUSU USHAHIDI WA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB) KUTHIBITISHA TUHUMA DHIDI YA WAZIRI WA KILIMO, MHE. HUSSEIN MOHAMED BASHE (MB) KUSEMA UONGO BUNGENI NA...
  4. Dkt. Muchunguzi alimuelewa Mpina?

    Mzee anadai tulikua kwenye Crisis, wakati Ushahidi unaonyesha Wamiliki wa Viwanda wanaozalisha Sukari, na ambao ndio Sheria imewapa Nguvu ya kuagiza Sukari nje, waliomba Kibali, Bashe akawacheleweshea Kibali kiasi Cha wao kushindwa kuagiza Sukari Kwa wakati. Mzaa hakaz anasema, sio Dhambi...
  5. Pre GE2025 Waraka wa Mbunge Luhaga Mpina kwa Watanzania: Tumeonewa kiasi cha kutosha sasa tunataka Mapinduzi ili tusionewe tena

    SALAMU ZA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA KWENYE KILELE CHA SHEREHE ZA MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR ALIPOZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KATIKA UWANJA WA NEW AMAAN COMPLEX ZANZIBAR TAREHE 12 JANUARI 2024 1. UTANGULIZI Ndugu Wanahabari, Asanteni sana kwa nafasi...
  6. B

    Mchango wa Luhaga Mpina (MB) jimbo la Kisesa (CCM) - kuhusu Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2022/2023

    MCHANGO WA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB), MBUNGE WA JIMBO LA KISESA (CCM) WAKATI AKICHANGIA MUSWADA WA SHERIA YA FEDHA WA MWAKA 2022/2023 (THE FINANCE ACT, 2022) BUNGENI DODOMA 28 JUNI 2022 1.0 UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, Mheshimiwa Waziri wa Fedha na Mipango amewasilisha Muswada wa Sheria...
  7. Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina aomba barabara za Jimbo lake zipandishwe hadhi

    MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Joelson Mpina amehoji bungeni kuwa ni lini Serikali itaipandisha hadhi barabara ya kutoka Bariadi – Mwaukoli - Mwandu Itinje – Itinje – Kabondo -Mwabuzo hadi Igunga kuwa ya Mkoa baada ya TARURA kushindwa kuihudumia kutokana na ufinyu wa bajeti. Akiuliza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…