luhaga mpina ccm

Luhaga Joelson Mpina (born 5 May 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kisesa constituency since 2005. He was the Minister of Livestock and Fisheries for 3 years in the Magufuli cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    Kwa hotuba ya jana Luhaga Mpina kwa ufupi anatuambia vijana kwa pamoja tuamke. Haustahili kuwa na hali hiyo kijana

    Wewe ni Kijana Me au Ke, Umeajiriwa au haujaajiriwa , Amka nasema Sasa basi !!. Umasikini na Ukosefu wa Ajira Nchini kwetu ni wa kutengeneza tu na kua na viongozi wasio Wazalendo, wasowajibika, viongozi weziz Mafisadi ,Wapuuziaji wa Kila kitu , aina hii ya viongozi ndio wametufikisha hapa...
  2. Mindyou

    Luhaga Mpina: Inawezekanaje wagombea wa chama kimoja jimbo zima wamekosea kujaza fomu?

    Wakuu, Inaonekana mambo yameendelea kuchemka huko CCM. Imefikia hatua hata viongozi wa CCM wameanza kukosoa jinsi mchakato wa Uchaguzi Wa Serikali unavyoenda. Soma pia: Luhaga Mpina kufungua Kesi zote ndani ya masaa 24 Nimejiuliza tu, hivi kwa post hii, Luhaga Mpina atakuwa salama kweli au...
  3. U

    Luhaga mpina - CCM sio kichaka wala pango la wanyang’anyi, Bora nifukuzwe Uanachama kuliko kukaa kimya!

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha hukoo "CCM sio kichaka wala pango la wanyang’anyi. Viongozi wala rushwa na wezi ndani ya CCM sintocheka na nyie na nitawataja na kuendelea kuwasema hadharani daima" "Bora nifukuzwe kabisa kuliko kukalia kimya rushwa na ufisadi unaofanywa kwa wachache na...
  4. J

    Pre GE2025 Mpina: Mzee Kikwete Mwaka 2012 alikataa Mimi kufukuzwa CCM, mimi ni MwanaCCM kwa kuzaliwa siyo kujiandakisha!

    Mbunge wa Kisesa Komredi Mpina amesema wanaodhani atahama CCM na kwenda Chadema au Chama kingine chochote wanaojidanganya bure Mpina amesema mwaka 2012 alipoipinga Bajeti ya Serikali baadhi ya Wanaccm walitaka afukuzwe Uanachama lakini Mwenyekiti wa CCM Wakati Ule Mzee Kikwete alikataa kwa...
  5. Erythrocyte

    Pre GE2025 Luhaga Mpina kufungua Kesi zote ndani ya masaa 24

    Taarifa yake hii hapa === “Niliahidi kwenda Mahakamani, naomba kutoa taarifa kwamba ndani ya Saa 24 nitakuwa nimeshafungua kesi zote zinazohitajika kama ifuatavyo, kesi dhidi ya kupingwa kufukuzwa Bungeni, kesi ya pili itakuwa dhidi ya Hussen Bashe, Mwigulu Nchemba, kamishna ya TRA na bodi ya...
Back
Top Bottom