Kuna mbughi inaenda kuchezwa hapo July - Oct 2025.
Nchi inaenda kusimama kushuhudia kimbembe.
Wambea wa baa ile wanasema TL anamkabidhi kijana wa Kisukuma mwenye ushawish Lake zone kupeperusha bendera yao.
Hii siasa imeka mkao wa kibabe sana ukizingatia Mpina ni Team JPM damu damu.
Bado...
Kivumbi tu! Kutoka kwa Mpina, anaendelea kutapika nyongo haswa
Ila huyu jamaa ni tofauti sana na wanaCCM wengine yani aogopi kupiga panapo stahili
================
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, amesema Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya utakatishaji wa fedha haramu, hali...
MATENDO NA TABIA za Bwana Luhanga Mpina ni kama mbwa mzee ambaye amejichokea kuishi sasa anatafuta sababu za kufa ndiyo maana anajilaza barabarani kila mara ili magari yamkanyage afe lakini yanamkwepa ndiyo maana haachi kubwekabweka kila dakika.
Luhanga Mpina ni moja ya mawaziri wa hovyo sana...
Mpina hana Back up laiti angezaliwa Kenya angekuwa na kundi la watu milion 1 nyuma yake hao ni active, Kwa Bongo Mpina yuko mwenyewe sana sana ana Keybord Worrior nyuma yake wengi sana kama milion 3 hivi.
Ushauri wangu kwa Mpina na watu wengine wenye kariba kama yake wasisumbuke, kutetea Maiti...
Ushauri wangu Kwako endelea na Ubunge wako, piga Hela, Wekeza, ukipata nafasi ya Kuiba Iba au Piga Dili ili baadae Wewe na Familia yako mje kuishi vyema. Watanzania hawabebeki na hasa hawa ambao leo unaona wanajifanya Kukupa Sapoti ni Wanafiki, Waongo na Waoga yakikukuta watakugeuka na...
Madudu yaliyoibuliwa na Mpina yanatisha na kutukatisha tamaa na kutowaamini viongozi wetu tuliowachagua ili watatue kero zetu.
Tunamtaka kwanza Bashe akae pembeni ili kupisha uchunguzi. Kuendelea kukaa kwenye ile ofisi mimi nitamshangaa sana Mteule wake.
PIA SOMA
- FULL TEXT: Maelezo ya...
Hata Hayati Magufuli alijulikana sana alipobinafsisha Nyumba za serikali Maneno yakawa mengi na kila mtu akamjua
Siasa ni Watu wakujue kwanza iwe kwa wema au ubaya kisha baadae unatenda mema na mema kuelekea Kiti cha enzi
Sasa kila mtu anamjua Mpina na ukifika uchaguzi 2030 hatahitaji kutumia...
Ninakupongeza sana Mhe. Mpina kwa taarifa yako iliyo na ukweli ndani yake na kwa kweli umetufumbua maacho wananchi jinsi tunavyonyonywa na watu wachache wasio waaminifu.
(1) Sukari tunayouziwa wachache wameweka chao cha juu Tshs.1,000 kama alivyotamka Tundu Lissu.
(2) Kampuni za stationery...
Bila ya kujali itikadi, sote wananchi tuungane katika uzi huu kulaani kwa kauli moja uonevu wa spika dhidi ya Mpina.
Shime watanzania kila mtu aandike katika uzi huu maneno yafuatayo:
"NASIMAMA NA MPINA",
Hii itasaidia kumtia moyo Mpina na kumshinikiza spika Tulia kuachana na njama zake za...
Na; Bk
Leo, Jumanne Juni 18.2024 mapema asubuhi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson ameagiza Mbunge wa jimbo la Kisesa Mheshimiwa Luhaga Mpina kufikishwa mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa kuwasilisha ushahidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.