luis jose

  1. OKW BOBAN SUNZU

    Luis Jose anabaguliwa na Waarabu?

  2. OKW BOBAN SUNZU

    Al Ahly ya Egypt yamtambulisha Luis Jose Miqsonne

    Aliyekuwa Mchezaji wa Simba SC Luis Miquissone Raia wa Msumbiji ametambulishwa rasmi kama Mchezaji wa Al Ahly ya Misri, mitandao mbalimbali imeripoti kwamba Miquissone atakuwa analipwa mshahara kati ya USD 40,000 hadi 50,000 (Tsh Milioni 92 - milioni 115) kwa mwezi. Kwa kheri Mwamba umeipigania...
  3. TASK FORCE

    Mshahara mmoja tu wa Luis Jose miqusison unalipa wachezaji wote wa Yanga

    By Mwandishi Wetu More by this Author MAPUTO. MKAZI wa hapa Maputo, Luis Jose amekula maisha nchini Misri. Staa huyo mkubwa kwenye soka la Bongo ambaye ameonekana jijini hapa juzi, ameuzwa na Simba kwa Al Ahly ya Misri. Habari za uhakika kutoka kwa mmoja wa watu wa karibu wa mchezaji huyo...
  4. C

    Yanga walikuwa na mpango wa kumvunja Luis Jose

    Ilinishangaza sana baada ya goli kocha wa simba kumuacha luis jose ndani ya uwanja wakati wale WEHU wa utopolo wakiwa wamechaji na roho mbaya zao wakicheza shaolini soccer full Kung Fu Target yao kubwa jana ilikuwa ni konde boy. Dakika ya 96 wakijua ni last move ya mpira alirukiwa na wachezaji...
Back
Top Bottom