Aliyekuwa Mchezaji wa Simba SC Luis Miquissone Raia wa Msumbiji ametambulishwa rasmi kama Mchezaji wa Al Ahly ya Misri, mitandao mbalimbali imeripoti kwamba Miquissone atakuwa analipwa mshahara kati ya USD 40,000 hadi 50,000 (Tsh Milioni 92 - milioni 115) kwa mwezi.
Kwa kheri Mwamba umeipigania...