lukaku

  1. Chelsea yakubali kumuachia Lukaku kwenda Roma kwa mkopo

    Mshambuliaji huyo raia wa Ubelgiji anatarajiwa kutua Roma kwa mkopo wa Pauni Milioni akiungana na kocha Jose Mourinho waliyewahi kufanya kazi pamoja miaka kadhaa iliyopita. Kukamilisha usajili huo, Chelsea imekubali Pauni Milioni 5 badala ya 8 iliyotaka awali ili kumruhu Lukaku (30) kwa mkopo...
  2. Kwahiyo George Mpole ni zaidi ya Sadio Mane na Lukaku

    Ndiyo George Mpole kamaliza ligi na magoli 17 kwenye ligi yetu madafu wakati Sadio Mane kaishia goli 16 na lukaku hata magoli kumi hakufikisha EPL Imeibuka tabia isiyo ya kiungwana ya kulinganisha wachezaji waliotokea ligi za maana na takwimu za wachezaji wa ligi yetu ya madafu. Unakuta mtu...
  3. Mashabiki wa Chelsea wakasirishwa Lukaku kujipeleka Inter Milan

    Baadhi ya mashabiki wa Chelsea wamekasirishwa na kitendo cha straika wao, Romelu Lukaku kudaiwa kuwa alimpigia simu Kocha wa Inter Milan, Simone Inzaghi akimuomba amrejeshe kikosini hapo. Inadaiwa kuwa alifanya tukio hilo miezi miwili iliyopita wakati timu yake ikiwa bado ipo kwenye mashindano...
  4. Tetesi za soka Ulaya Ijumaa 06.08.2021: Messi, Kane, Lukaku, Correa, Trippier, Aouar, Abraham, Armstrong

    Tangazo la Barcelona kwamba mshambuliaji wa Argentina Lionel Messi, 34, hatabakia kwenye klabu hiyo ''limefungua mlango wa uhamisho wa kushtua " katika Manchester City. (Manchester Evening News). Uwepo wa Messi unaweza kuathiri uwezekano wowote wa uhamisho ambao Man City walikuwa...
  5. Eeeh bwana eeeh Kikosi bora Euro2020 Lukaku ndani Ronaldo out

    Wakuu salaam, Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Euro wametoa kikosi bora cha Mashindano lakini Goal Machine Mr CR7 hajatokea ilihali yeye ndiye katunukiwa ufungaji bora. Inawezekanaje hii. Hii ni hujumaaa. Euro irudiwe irudiwe irudiwe Tazama kikosi bora cha mashindano katika picha...
  6. M

    Romelo Lukaku alivyokuwa Chelsea FC 2014

  7. Chelsea kumrejesha Lukaku EPL

    Chelsea wanajiandaa kutoa ofa ya pauni milioni 86.3 kwa ajili ya mshambuliaji Mbelgiji anayecheza katika klabu ya Inter Milan Romelu Lukaku, 27, endapo the Blues watashindwa kumsajili mshambuliaji Erling Braut Haaland,20, wa Borussia Dortmund (Calciomercato-in Italian) Tottenham watajaribu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…