Uzi uwe mfipi kabisa.
Nimefuatilia miamala yangu 6 ya kununua umeme ya mwishoni mwezi huu nimeona kuna tozo ya kununua umeme kwa njia ya simu (airtel money) ila haitajwi ni salio linakatwa tu kimya kimya.
Umeme wa elfu3 unakatwa TSH 90, Umeme wa elf 5 unakatwa TSH 100.
Umeme wa elf 1 unakatwa...
Muda huu nangalia kipindi ITV TANESCO wanaelezea kuhusu namba za marejesho. Na mchana nikapigiwa mzigoni umeme umekatika bahati na nunuaga LUKU nahifadhi.
Nikawapa wakaweka kumbe Baba Mkubwa naye ashanuua kazini kapewa na namba namba za maboresho. Jamaa wanasema kama ulishanunua huko nyuma ya...
Miongoni mwa waliohudhuria kwenye mikutano ya Rais Samia huko Katavi na mimi nilikuwepo
Kwenda kwangu kwenye mikutano hiyo, siyo kwamba ndio namkubali Rais katika utendaji wake, hapana
Nimepatwa na shida sana kichwani kuamini kwamba, huyo ndiye aliyezunguka na JPM kuomba kura huku wakituahidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.