lukuvi

  1. B

    Mwenyekiti atishia kwenda kwa Rais mbele ya Waziri Lukuvi

    3 Mar 2021 Mtoto wa Muasisi wa TANU uso kwa uso na Mh. Lukuvi, matatizo ya ardhi jijini Mwanza Leo March 03, Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo Makazi William Lukuvi amekutana na Watumishi wa Jiji la Mwanza idara ya ardhi na wengine, Waziri Lukuvi akiendelea na kikao nje kukawa na Wananchi...
  2. J

    Lukuvi tembelea na Ununio beach kuna ushuru unatozwa kuanzia Halima Mdee alipokuwa Mbunge

    Nisiongee mengi tembelea tu wewe mwenyewe mh waziri Lukuvi utagundua hapo Coco beach ni " cha mtoto" Yaani ni mwendo wa ushuru tu, ukiingia na gari ushuru, ukitaka kupiga picha ushuru yaani ni full ushuru. Maendeleo hayana vyama.
  3. Kwa mara ya kwanza natoa pongezi kwa Lukuvi

    Amani iwe nanyi wadau Leo nimeona taarifa Azam Tv, waziri wa Ardhi akiongelea suala la watendaji wa kata/ serikali za mitaa kupewa mamlaka ya kusimamia ardhi/ makazi. Suala hili wana JF humu tuliwai kutoa ushauri kwa serikali hii Kama hatua wanayopaswa kuchukua katika kukabiliana na tatizo la...
  4. Waziri Lukuvi awataka wamiliki wa ardhi kujenga kwa kufuata sheria

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka wamiliki wa ardhi wanaotaka kujenga kuhakikisha wanafuata sheria na taratibu zote wakati wa kufanya ujenzi. Waziri Lukuvi alisema hayo mwishoni mwa wiki hii katika ofisi yake ya ardhi ya mkoani Dar es Salaam na Pwani...
  5. M

    Lukuvi hivi unawatafuta nini wananchi kwenye ardhi? Hebu tuliza spidi unaenda kasi isiyo na faida

    Majuzi umetoa kauli tata kuhusu umiliki wa ardhi katika ndoa, tumekueleza kuwa uwe makini na kaulikauli hizi. Kisha naona unatoa kauli nyingine kutishiatishia wananchi kutwaa ardhi zao. Ni hivi ndugu Lukuvi, sisi wananchi hatupendi stress, kutishwatishwa, kusukumwasukumwa, kupelekwapelekwa...
  6. B

    Waziri Lukuvi, sio lazima kisheria jina la mke na mme kuwa kwenye hati ya kiwanja

    NDG. LUKUVI, SIO LAZIMA KISHERIA JINA LA MKE NA MME KUWA KWENYE HATI YA KIWANJA. Na Bashir Yakub, WAKILI +255 714 047 241. Lazima tunapotoa kauli tuwe tunatofautisha matamanio yetu, na kile sheria inachosema. Tuangalie haya 6 kuhusu kauli ya ndg Lukuvi. 1. Mpaka sasa hakuna sheria...
  7. D

    Waziri Lukuvi tembelea maeneo ya Dar es Salaam, kuna viwanja vingi havijaendelezwa

    Naongelea maeneo ya Goba, Bunju, Madale, Mabwepande, Kigamboni n.k Watu wameweka maeneo makubwa yamekuwa mapori. Wengi uwezo wa kujenga hawana sababu walishastaafu na kuuza hawataki. Wazee hawa wana street mipango mingi ila fedha hawana sasa maeneo yao yamebaki mazalia ya nyoka na kenge na...
  8. S

    Kauli ya Magufuli kuwa Kabudi na Lukuvi hawatagombea Urais haikuwa ya ghafla, ilipangwa siku nyingi na ndio mwanzo wa mgogoro ndani ya CCM

    Siku Magufuli alipotamka hadharani kwamba Kabudi na Lukuvi hawatagombea Urais kwa sababu ya umri wao mkubwa, wengine walicheka wakiichukulia kama ni kauli ya ghafla. La hasha, hii ilikuwa ni kauli ya kimkakati ambayo Magufuli alikuwa ameitafakari na kupanga kuisema kabla hata ya kuingia Uchaguzi...
  9. Rais Magufuli kutamka hadharani kuwa Prof. Kabudi na Lukuvi hawawezi kuwa miongoni ya Rais ajaye mwaka 2025; Je, amevunja Katiba ya nchi?

    Tulimsikia Rais Magufuli wakati akimwapisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisema kuwa Profesa Kabudi na William Lukuvi hawawezi kuwa miongoni ya wagombea wa Urais wa CCM kwa mwaka 2025, kwa kuwa tu umri wao hauwaruhusu, kwa kuwa watakuwa na umri mkubwa, kwa kuwa ameeleza kuwa Rais ajaye atakuwa...
  10. Rais Magufuli: Nataka nimwambie Mheshimiwa Kassim, kazi ya uwaziri mkuu haina 'guarantee'

    Baada ya kumteua kisha kuthibitishwa na Bunge mwishoni mwa wiki, leo asubuhi Rais John Magufuli atamwapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa ataapishwa ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kipindi cha pili ikiwa ni siku tatu baada ya Bunge kumthibitisha. Mkurugenzi Msaidizi wa Idara...
  11. Tetesi: Madaraka ni dhamana ya muda mfupi sana. Je, Lukuvi kumpiku Majaliwa?

    Nimeuliza ili kupata majibu baada ya tetesi kunifikia, naomba mwenye kujua zaidi atueleweshe. Na wala haishangazi, hii ni kwa vile uongozi ni kama mbio za kupokezana vijiti, anayeanza siyo anayemaliza.
  12. Lukuvi ajibu tuhuma za baadhi ya wanasiasa kujimilikisha ardhi. Asema umilikishwaji hufanyika kwa kuguata sheria na hakuna kiongozi aliyejimilikisha a

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amekanusha vikali kauli iliyotolewa na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa kuwa kuna baadhi ya viongozi wamepora ardhi ikiwemo ardhi ya eneo la Mbarari mkoa wa Mbeya na kusisitiza kuwa kati ya viongozi waliotuhumiwa hakuna hata...
  13. Unaodaiwa kuwa “Waraka wa Shura ya Maimamu” kwa Gwajima na Lukuvi

  14. Kunduchi: Wapimaji Ardhi wakiuka agizo la Waziri Lukuvi

    Habarini wapendwa," Nimepita jana maeneo ya kule Kunduchi /Meko/Mtongani, kuna upimaji wa maeneo yaliyo jengwa na viwanja baada ya kurasimishwa, tatizo nililoliona kuna utapeli unafanyika. Mhe. Lukuvi alitangaza mwaka Jana mwezi Aprili kuwa gharama za kupimiwa kiwanja ni TSH 150,000/= Sasa...
  15. Waziri Lukuvi aagiza Hati za Ardhi kutolewa ndani ya wiki moja

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeeo ya Makazi William Lukuvi ameagiza kutolewa Hati za umiliki wa ardhi ndani ya wiki pamoja pale mwananchi atakapokuwa amekamilisha taratibu zote za umilikishwaji ardhi. Aidha, ameagiza wananchi kupatiwa hati zao za ardhi katika halmashauri waliolipia gharama...
  16. R

    Lukuvi, mbona ofisi za kila mkoa ulizozifungua kumaliza taratibu za umiliki wa ardhi hazifanyi kazi? Bado tunalazimika kwenda ofisi za Kanda na Dar

    Ulitutangazia na tukakuona kwenyeTv ukisema kuwa process/procedure zote za umiliki wa ardhi ( kiwanja/viwanja) zitamalizwa na mkoa (ulianzisha ofisi za ardhi kwa baadhi ya mikoa) bila kwenda Dar/ Moshi/Mwanza kwenye kanda kama taratibu za zamani zilivyo kuwa. Leo naona bado utaratibu wa...
  17. Waziri Lukuvi kwanini hati za watu halali kabisa lakini kupata mpaka kutoa hongo (hasa mikoani)?

    Mh. Lukuvi, nianze kwa kukupongeza kwa kazi nzuri mkuu. Kumekuwa na hili suala sugu kama sio ugonkwa sugu wizara yetu, wapo wengi wanalipa kila kitu kupata hati zao wanatajiwa wahonge pesa kubwa, shida nini zaidi? Unaweza kufanya uchunguzi wako binafsi; utajiridhisha na hiki nachoandika...
  18. J

    Waziri Lukuvi atekeleza agizo la Rais Magufuli, aikabidhi Halmashauri ya Kigamboni ekari 715 za ardhi

    Waziri wa ardhi mh Lukuvi leo ametekeleza agizo la Rais Magufuli kwa kuikabidhi halmashauri ya Kigamboni ekari 715 zilizokuwa za Quality group iliyozimiliki kupitia International Village ltd. Rais Magufuli alitoa siku 7 kwa Waziri Lukuvi awe ameikabidhi ardhi hiyo kwa halmashauri ya Kigamboni...
  19. S

    Mtoto wa Lukuvi aolewa na mtoto wa Mohammed Aboud

    Sijui nani alofuata dini ya mwenziwe au kama wameoana bomani
  20. J

    Nyumba ya Serikali yenye thamani ya Sh 1.2 bilioni yauzwa kwa mfanyabiashara kwa Milioni 130. Waziri Lukuvi alia na watendaji, amkabidhi DCI

    Waziri wa Ardhi Mh Lukuvi amemtaka Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai kuwashughulikia watendaji wa NHC na NIC waliouza kifisadi nyumba mbili za Serikali kinyume cha utaratibu. Naye DCI amemhakikishia Waziri Lukuvi kuwa atalishughulikia suala hilo kwa haraka na kuhakikisha nyumba hizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…