WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, ameagiza mashamba 24 yaliyoko Kilosa mkoani Morogoro kupelekewa ilani ya kufutwa kutokana na kutoendelezwa Lukuvi alitoa agizo hilo jana wilayani hapa alipozungumza na uongozi wa Wilaya ya Kilosa na watendaji wa ardhi katika wilaya...