Naibu Waziri Kigahe Apiga Marufuku Wakulima Kuuza Mazao kwa Lumbesa.
Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe(Mb) amepiga marufuku kwa wakulima kuuza mazao kwa kutumia lumbesa.
Kigahe amepiga marufuku hiyo kwa wakulima na wafanyabiashara desemba 20,2023 wakati wa ziara...
MBUNGE KAMONGA APOKEA KILIO CHA LUMBESA MADILU JIMBO LA LUDEWA
Wananchi wa kata ya Madilu iliyopo Wilayani Ludewa Mkoani Njombe wamelalamikia vipimo vya viazi wanavyohitaji wanunuzi ambapo wamekuwa wakihitaji ujazo wa Lumbesa kitu ambacho kinawapa hasara wakulima hao.
Wakitoa malalamiko hayo...
Ndugu mheshimiwa Waziri wa Kilomo Hussein Bashe,Kumekua na utata mkubwa juu ya ushonaji wa gunia za Lumbesa hasa kwa mazao ya vitunguu.
Wakati wa mavuno.Mheshimiwa ulitoa tamko Mkoani Mbeya msimu wa nanenane ukiwa na mheshimiwa number one,juu ya katazo la ushonaji wa magunia makubwa (Lumbesa)...
Ahlan wa sahlan
Kuelekea kuadhimisha sikukuu ya wakulima maarufu kama Nane nane, serikali kupitia makamu wa Rais ,Mheshimiwa Dk. Philip Mpango, imetoa taarifa kudhibiti lumbesa.Ila kauli hii imekuwa ikitoka miaka nenda miaka rudi huku wakulima wakiendelea kuumia tu. Wakala wa vipimo na mizani...
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amepiga marufuku ununuzi wa mazao ya wakulima kwa kutumia vipimo visivyokuwa rasmi ikiwemo ujazo ulizidi yaani lumbesa
Alitoa agizo hilo jana alipokuwa akizindua Maonesho ya Wakulima (Nanenane) ambayo kitaifa yanafanyika katika viwanja vya John Mwakangale...
Taifa ni watu. Taifa fulani linapokuwa maskini au tajiri huashiria umaskini au utajiri wa Taifa hilo. Uchumi wa nchi unapokua au kuanguka humaanisha uchumi wa wananchi wa nchi hiyo unakua au kuanguka.
Nchi yetu imejaliwa kila kitu chema lakini tumenyimwa super intelligent leaders. Yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.