Habarini wakuu,
Kwa Tanzania hapa, asilimia kubwa ya watu wafanya kazi Ile basi tuu, wachache tuu wana uzalendo na kazi lakini wengi hawana moyo kabisa wa kufanya kazi.
Ukipita maofisini utagundua wafanyakazi wengi iwe private sector au serikalini wanazingatia muda wa lunch kuliko muda wowote...