Mwezi wa 11 naenda Lusaka kwa likizo ya wiki 2, Nimealikwa kwenye shughuli za research, Ni nje ya kazi yangu rasmi, Likizo yangu ya mwezi ujao nimeona niitumie Lusaka.
Mambo gani nizingatie nikiwa mgeni ?
Kuna kero zipi kwa sasa ?
Interests zangu ni kuangalia mpira nihudhurie mechi mbili...
Kama mdau wa maendeleo wa nchi hii yetu pendwa..nimekua toka enzi za utoto nikiona matumizi makubwa ya RELI ya TAZARA. Katika utawala wa Mwinyi na Mkapa RELI hii ilikuwa ni kitovu cha uhudumiaji nchi za ukanda wa kusini kama Zambia, Malawi, Congo DR nk.
Abiria na mizigo Mingi ilisafirishwa...
🇿🇲 Mwaiseni! 🇿🇲
This thread is for all Zambians and friends of Zambia who want to exchange stories and news from home.
To those living in Tanzania or other countries: What do you guys miss the most from Zambia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.