lushoto

Lushoto is a town in the Usambara Mountains of Tanzania. It is the capital of Lushoto District, Tanga Region. The 2012 national census estimated the population of Lushoto ward at 28,190.

View More On Wikipedia.org
  1. Picha Lushoto

    ASANTE LUSHOTO🇹🇿
  2. Rais Samia: Majengo 122 yamejengwa nchini kuboresha huduma kwa Wananchi!

    Ziara ya Rais Samia Lushoto - Tanga Februari 24, 2025 https://www.youtube.com/live/LNpz7Pc79wE?si=yn9bJoLvJnntvhA- "Nimekuja kuangalia matumizi ya fedha mbalimbai zinazoletwa kuondoa shida za wananchi, nimekuja kuangalia kama kweli zimeondoa shida za wananchi, nami sitaki nilaumu nataka niseme...
  3. Hivi kuna sehemu yenye kuvutia kwa kila kitu nchini zaidi ya Lushoto?

    Nimetembea sehemu nyingi nchini. Sijawahi kuona sehemu yenye kuvutia kama Lushoto. Mbali na mandhari yake ya kuvutia, watu wake ni waaminifu, wachapakazi, wachangamfu, na wakarimu. Kwa upande wa matunda na vyakula ndiyo usiseme. Haya ni maoni yangu binafsi. Hivyo, sitaleta utafiti zaidi ya...
  4. LGE2024 Lushoto waongeza vituo vya kupigia kura

    Halmashauri ya Lushoto imebidi kuongeza vituo vya kupigia kura 64 katika maeneo mbalimbali kutokana na kuwepo malalamiko ya baadhi ya wananchi kuwa kuna sehemu vituo vipo mbali na hawataweza kufika huko. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Msimamizi wa uchaguzi wa Halmashauri ya...
  5. KKKT je ni kweli HQ yenu iko Lushoto

    Nikiangalia Wikipedia wanasema wako Arusha lakini mtangazaji anasisitiza HQ iko Lushoto https://www.facebook.com/reel/442803845318314 Evangelical Lutheran Church in Tanzania (Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania) The Evangelical Lutheran Church in Tanzania is the federation of...
  6. Tanga: Mbunge wa Lushoto na Mwenyekiti wa Halmashauri wadaiwa kuwindana kwa Risasi

    Mbunge wa Lushoto mjini Shaban Shekilindi almaarufu Boznia anahusishwa na tuhuma za kufanya njama ya kumpiga risasi Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya Lushoto Mbaruku Matei. Kuhusishwa kwa mbunge huyo, kunatokana na kukamatwa vijana wanne waliokuwa waende kutekeleza mpango huo lakini pia mke...
  7. D

    Baadhi ya Shule za Sekondari hasa za wilaya ya Lushoto hazina ufuatiliaji Mzuri kutoka kwa Viongozi wa Halmashauri

    Baadhi ya Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Lushoto zimekuwa Mzigo kwa jamii kwani Bado shule hizo Mfano wana waagiza wanafunzi Review ( rejea)za masomo kitu ambacho rejea hizo zilipigwa marufuku na serikali kutokana na kuwafanya wanafunzi kukariri. Lakini bado Baadhi ya Shule hizo zimekuwa...
  8. S

    DOKEZO Mradi wa REA uliopo Tanga, Lushoto Bumbuli, Kata ya Funta kijiji cha Manga ni mwaka wa 3 haujakamilika

    Mradi wa REA uliopo TANGA, LUSHOTO BUMBULI, kata ya FUNTA kijiji cha MANGA. Ni mwaka wa 3 mradi haujakamilika. Tulifika mpaka TANESCO wilaya kuwaeleza hawajafanya chochote (kama pesa za mradi zimeliwa basi) kama kitongoji kimoja hakimalizi nguzo 10 mwaka wa 3 mradi haukamiliki, basi tunaiomba...
  9. Lushoto: Wazee wakausha maji baada ya mradi kuanzishwa bila kupewa taarifa

    Wakazi wa Kata ya Kwekanga wilayani Lushoto mkoani Tanga wamekumbana na ukosefu wa maji baada ya wazee wa kata hiyo kudaiwa kuzuia chanzo cha maji kutotoa maji hadi kufanyike tambiko, baada ya mkandarasi kuanza mradi bila kuwashirikisha. Akizungumza katika mkutano wa hadhara, Meneja wa Mamlaka...
  10. Tanga: Watuhumiwa 26 wakamatwa kwa kuvamia na kudhuru Hoteli ya Mambo View

    Jeshi la Polisi kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu, limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 26 na kufikishwa mahakamani Oktoba 26, 2023 katika Mahakama ya Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga wakikabiliwa na tuhuma mbalimbali zikiwepo; unyang'anyi wa kutumia nguvu na shambulio la kudhuru mili dhidi...
  11. Msaada wa chumba/hostel ya kupanga Lushoto

    Wakazi wa Lushoto nipo wilayani kwenye nipo Lushoto mjini stand kuu ya Magari hapa ndo nimeingia muda si mrefu Shida yangu bhana natafuta hostel yoyote ya kufikia na kukaa ndani ya siku kadhaa ambayo malipo yake Kwa siku chini ya Tsh 8,000 au kama pia kutakuwa ntapata chumba cha kupanga ambacho...
  12. Maajabu ya Wilaya ya Lushoto

    Maajabu sio lazima kuwe na mastori ya kutisha ambayo asilimia kubwa ni uongo mfano mzungu akija huku afrika akaona kulivyo kuchafu, dis-organized vumbi kila sehemu atastaajabu sana Haya kwangu ni maajabu Wengi wa watu wakisikia Wilaya ya Lushoto wanapata picha ya haraka haraka kwamba wenyeji...
  13. Wananchi Lushoto warudisha kadi za CCM kukosa imani na viongozi, Tazama video

    Katika hali iliyotabiriwa, na inayotabiriwa kuelekea 2025, wananchi wa Lushoto warudisha kadi za chama kwa madai ya kutoridhika na utendaji kazi wa viongozi wa wilaya na vijiji. ----- Hali hii naomba chama kianze kuidhibiti mapema kwa kufanya kazi mara mbili zaidi kuelekea uchaguzi mkuu...
  14. Mtanzania ameshinda tuzo ya Mfalme Charles III wa Uingereza ijulikanayo kama Prince’s Trust

    Msichana wa Kitanzania, Zamana kutoka kijiji cha Irente Juu, Kata ya Magamba, Wilaya ya Lushoto ameshinda tuzo ya Mfalme Charles III wa Uingereza ijulikanayo kama Prince’s Trust. Tuzo hii ilianzishwa mwaka 2015 na Mfalme Charles III, wakati huo akiwa bado ni mwana wa Mfalme (Prince of Wales)...
  15. M

    Hospitaiili ya wilaya Lushoto wakataa kumpa kitanda mgonjwa aliyevunjika mguu

    Yupo mgonjwa aliyepata ajali ya kugongwa na pikipiki na amevunjika nmguu. Tangu mapema saasita mchana hadi saa kumi na nusu hawataki kumpatia mama huyo kitanda wamemuweka mapokezi eti wanadai anatakiwa kupelekwa hospitali ya Bombo. Mama huyo familia yake wamechelewa kupata taarifa na...
  16. Saa 12 bila umeme Lushoto

    Hii hali kwa sasa imekuwa ni zaidi ya kero, masaa 12 hakuna umeme. Mmeshawahi waza ni shughuli ngapi zinasimama kwa kutokuwepo kwa umeme? Na je mkawaza ni kiasi gani cha mapato kinapotea kwa wakati huo ambao umeme haupo? Kuweni serious hata kama ni marekebisho si kwa muda wa masaa 12. Mama...
  17. Urafiki wa Mkapa na Magufuli ulianzia Kagera ukafia Lushoto

    1995 Benjamin William Mkapa anachukua fomu ya kugombea Urais, gazeti moja kwa kebehi likaandika "Mkapa naye achukua fomu." Hili neno "Naye" kwa sisi wana fasihi tuliona ni dongo, maana kipindi hicho habari ya mjini ilikuwa Boyz II Men, Lowassa na Jakaya Kikwete, wakiwa vijana kabisa hakuna...
  18. R

    Angalia Rushwa (rushwatozo) ya trafiki toka Tanga mpaka Lushoto kabla ya Kinana kuingilia kati

    Nimehojiana na dereva alivyokuwa anatoa rushwa kwa trafiki na kumshukuru Kinana kupunguza trafiki barabarani. Unatoka Tanga kwenda Lushoto. Unatoa rushwa as follows 1. Ukitoka Tanga stend ya zamani kabla ya kufika Kange stend unatoa 2,000 2. Kange stend kabla ya kuanza safari ya L:ushotondoka...
  19. Kilimo cha mboga mboga uhai wa Wilaya ya Lushoto

    Wakuu habari za siku nyingi, Leo ninakuja na andiko kuhusu namna kilimo cha mbogamboga kinavyowanufaisha wakazi wa wilaya ya Lushoto na halmashauri zake. Wilaya ya Lushoto inapatikana katika safu za milima ya usambara ndani ya Mkoa wa Tanga, kwa asilimia kubwa wenyeji wa wilaya hii ni kabila...
  20. M

    Kwanini Mbeya hakuna watu weupe? Kama ni baridi hata Lushoto ipo

    Niko Mbeya kwa muda sijaona mtu mweupe wala maji ya kunde. Ukiona mwanamke mweupe ujue mkorogo umehusika. Ukiwauliza wanasema sababu ya baridi. Mbona Lushoto na Arusha kuna baridi na watu ni weupe? Na Ulaya je wasemeje? Tupeni sababu za kisayansi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…