Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, alitimuliwa kwenye kazi hiyo na kushitakiwa Mahakamani kwa Uhujumu uchumi, ambako aliachiwa kwa dhamana huku kesi yake ikipangiwa tarehe nyingine.
Tangu hapo hatujawahi kusikia tena kama kesi hiyo iliendelea popote , Je na yeye...
Kwa kadri ya kumbukumbu zangu nchini Tanzania, kesi yoyote ya Uhujumu uchumi ama ya utakatishaji pesa huwa hazina dhamana.
Kinachonishangaza ni kitendo cha Mahakama kumuachia kwa dhamana Mhujumu uchumi wa wazi kabisa aitwaye Lusubilo Mwakabibi aliyekuwa DED wa Temeke, hivi hizi sheria za...
Salaam Wakuu,
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Temeke Lusubilo Mwakabibi na Edward Haule, Wamefikishwa Mahakamani Kisutu asubuhi hii.
Hatua hii imekuja baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutoa siku nne kwa TAKUKURU kumfika Mwakabibi Mahakamani ajibu Mashitaka yanayomkabiri.
Katika ziara yake ya...
Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi Wakurugenzi wawili.
Wa kwanza ni Nyangi Msemakweli wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Huyu katumbuliwa kwa ubadhirifu wake na usimamizi mbovu wa miradi ya Maendeleo pia alikuwa hana maelewano na...
Mwananchi wangu wa Kakonko ambae,alikua ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nyang'wale Ndugu yangu Carlos Gwamagobe ameswekwa Rumande kwa Wizi na wenzake 5.
Carlos namfahamu vizuri maana niliwahi kufanya nae Kazi Halmashauri ya Kakonko akiwa ni afsa Ustawi wa Jamii. Niliwahi kumwambia aache kula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.