luteni jenerali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    Luteni Jenerali wa ngazi ya juu wa Urusi, Igor Kirillov auawa kwa bomu lililotegwa kwenye ‘scooter’

    Luteni Jenerali wa ngazi ya juu Igor Kirillov ambaye ni Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi cha Nyuklia, Biolojia, Kemikali (NBC) katika Jeshi la Urusi na Msaidizi wake wameuawa katika mlipuko uliotokea mjini Moscow. Jenerali huyo alikuwa akiondoka kwenye makazi mapema Jumanne wakati kifaa kilichofichwa...
  2. U

    Mkuu wa majeshi Israel na Mkuu idara ya ujasusi ya shin bet watua Lebanon ya Kusini, waapa kuwasaka na kuwaangamiza magaidi popote walipo

    Wadau hamjamboni nyote? Mkuu wa majeshi Luteni Jenerali Herzi Halevi akiambatana na Mkuu idara ya Usalama wa ndani Shin Bet jasusi mbobezi Ronen Bar watembelea leo hii kibabe kabisa kusini mwa Lebanon. Wababe hao wameapa kuwa magaidi wa Hezbollah na wenzao wote hata wajifiche ardhini au angani...
  3. BARD AI

    TANZIA Luteni Jenerali Mstaafu, Balozi Martin Mwakalindile afariki dunia

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Nkunda ametangaza Kifo cha Luteni Jenerali Mstaafu Balozi Martin Mwakalindile kilichoteka Januari 28, 2024 nchini India alikokuwa akitibiwa.
  4. Linguistic

    Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Luteni Jenerali Yacoub Mohamed

    Balozi wa Tanzania Nchini Uturuki anaitwa Luten General Yacoub Mohamed . Asanteni Sana Wakuu [emoji109][emoji109]
  5. U

    Luteni Jenerali Roger L. Cloutier wa Jeshi la Marekani atekwa na Makomandoo wa Urusi akiwa vitani Ukraine

    Zamotomoto kutoka katika uwanja wa Vita mji wa Mauripol, Makomandoo wa Urusi kutoka kikosi hatari zaidi Ulimwenguni cha Spetsnaz kilichochini ya KGB /FSB wamemteka Kamanda wa Jeshi la Marekani Luten General Roger L. Cloutier Jr, Pamoja na propaganda kadhaa za watu wasio rasmi wala wasemaji wa...
  6. Ferruccio Lamborghini

    Luteni Jenerali Tumainiel Kiwelu hakika ameacha alama zisizofutika

    Tumainiel Kiwelu ni mmoja wa viongozi watakaokumbukwa daima katika Mkoa wa Rukwa, hasa mjini Sumbawanga. Ndiyo, Jenerali Kiwelu. Hakika ameacha alama zisizofutika. Ninashindwa nianzie wapi katika kumuelezea mwamba huyo wa Vita ya Kagera. Anyway, ngoja nianzie popote. Kiwelu, mwanajeshi haswa...
Back
Top Bottom