Tumainiel Kiwelu ni mmoja wa viongozi watakaokumbukwa daima katika Mkoa wa Rukwa, hasa mjini Sumbawanga. Ndiyo, Jenerali Kiwelu. Hakika ameacha alama zisizofutika.
Ninashindwa nianzie wapi katika kumuelezea mwamba huyo wa Vita ya Kagera. Anyway, ngoja nianzie popote.
Kiwelu, mwanajeshi haswa...