Habari wakuu,
Kuna hawa jamaa wa M-gas wanakopesha gesi kwa elf 30 tu kisha unakuwa unajinunulia gesi kwa matumizi yako. Wanasema hata ukiwa na buku tu unapata gesi.
Waliotumia tunaomba kujua faida na changamoto zake. Mfano, hiyo gesi ya buku unaweza kufanyia chochote? Je, unaweza kununua hata...