Habari wakuu mbalimhali:
1. Naomba kujua namna ya kuwa SUPER AGENT wa mitandao ya SIMU ya YAS/TIGO na VODACOM/ M-pesa.
2. Pia naomba kujua utaratibu wa kua na TigoShop au Voda Shop mfano wa hizi tunazo enda kupata Huduma mbalimbali kama Milimani City.
Natanguliza Shukrani
Majuzi bhana, nikaenda kuangalia salio. Kuna kipindi niliweka Tsh 100,000 kwenye akaunti yangu ya CRDB nione kama kuna hela ya kutoa ili nisaidie jambo fulani. Nilichokutana nacho huwezi amini 🙌🙌— nadaiwa kama Tsh 56,547.68 na hela yangu yote imekula! 😂 Nikaamua kuwaachia kadi yao na deni lao...
"NullYou have insufficient balance to subscribe the service. But you can dial *137*09*02 to subscribe the service via M-Pesa". Hawa nao ni wale wa " ile hela tuma kwa namba hii", nao wanastahili kukamatwa.
Vodacom imekuwa na desturi ambayo ni sawa na wale wa "ile hela tuma kwa namba hii"...
Mnamo March 2024, nilituma hela kwa mtu nkaambiwa haikufanikiwa kwenda. Baada ya siku kama kumi, nikagundua Salio langu limepungua tofauti na transactions nilizofanya, Baada ya kujiridhisha nikawapigia simu huduma kwa wateja wakaniambia hela ilienda ila haikukatwa kwenye account yangu, nikahoji...
Habari!
Wangapi kati yetu tushakutana na changamoto ya kupoteza pesa sababu tu Vodacom Mpesa wanakataa kurudisha pale vifurushi vinajinunua mara mbili wakati mmoja?
Kuna haja ya kupaza sauti kwa aina mpya ya mitandao kuibia wateja wao.
Habari wakuu.
Naomba kujua kama nikienda nje ya Africa nikitumia huduma ya international roaming kama bado naweza kufanya miamala ya kutuma na kupokea pesa kwenye simu. Shukran!
Wakuu, kufulia kusikie tu kwa jirani aisee. Hapa nilipo nimefulia kiasi kwamba nimebaki na elfu 4 tu iko kwenye m-pesa. Sasa nataka kwenda kwa wakala kuitoa lakini naona aibu wakuu.
MWANAFUNZI wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Ndugu, Mbozi mkoani Songwe, Daud Simkoko (17), ameuawa kwa kipigo kisha kuchomwa moto na wananchi kwa tuhuma za wizi katika duka la huduma za kifedha.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Rashid Ngonyani, amethibitisha...
Nina ndugu yangu yuko Marekani anataka kunitumia pesa ila akituma iingie kwenye M-pesa yangu.
Ameniambia wazi kuwa angetumia Western Union lakini makato yake ni makubwa.
Naombeni msaada hasa nyie watu wa Vodacom hili litawezekanaje?
Hii sijui tuseme ndiyo kwenda na mabadiliko ya teknolojia ama vipi, sasa hivi wadangaji wengi wanamiliki hizi line za lipa kwa M-Pesa, kwahiyo hata kama ukitaka kumla na huna pesa taslimu anakwambia 'umtip' kwa M-Pesa.
ni mwendo wa *150*00# mpaka kwenye papuchi.
Watumiaji walio na M-Pesa ya Vodacom sasa wataweza kutuma na kupokea pesa kwa urahisi kwa nchi nane mpya zilizo na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (Sadc), kutokana na upanuzi wa jalada la mfumo wa uhamishaji pesa wa kimataifa (IMT).
Nchi mpya zitakazotumika katika upanuzi huo ni...
Ndugu wanajopo,
Kuanzia juzi hadi sasa sijaweza kuingia menu ya MPESA inayofunguliwa kwa code hii *150*00#. Kikawaida nikibofya, ninapata maelezo haya: "USSD code is running" kisha menu inafunguka.
Lakini, kuanzia jana mambo yamegeuka, kanakuja kabox kanachohitaji nijaze "carrier info." Hiki...
Nilikuwa sijawahi kutumia hii huduma lakini sasa nilijaribu wiki mbili zilizopita na sikuangalia salio.
Muda huu nimepata bank statement kwenye email ndio naona hayo makato.
Tsh. 5,300 (NMB Tsh. 4,491.53 na VAT Tsh. 808.47) imenishangaza kukatwa zaidi ya asilimia 10 ya fedha niliyohamisha...
Hi . Kuna upigaji wa vihela vidogovidogo huko M-pesa wanazani kua sisi ni wajinga hua hatufatilii taarifa za pesa zetu ndogo ndogo zilizoko huko M-pesa
Leo nimejitumiakiasi cha shilingi 1,100 kwenye account yangu ya tigopesa pesa ili ninunue kifurushi makato ya huo muamala yalikua 385 hii sio...
Juzi asubuhi nilikwenda kwa wakala kutoa pesa kabla ya kuanza mihangaiko ya siku nikawa nimebakiza salio katika simu takribani Tshs.15,000+,,,, Cha ajabu jioni wakati natoka mishe mishe nikawa nataka nijiunge kifurushi cha kuongea na simu nikafanikiwa kujiunga kilikuwa cha Tsh.500. Ujumbe...
Habari zenu wakuu,
Kutokana na Paypal kutoruhusiwa kupokea pesa Tanzania, nafikiria kuanzisha huduma itakayosajiliwa ambayo itawawezesha watanzania kupokea pesa kutoka paypal na kuingia kwenye mitandao ya simu ya Tanzania kama M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.
Napokea maoni, ushauri na...
Mobile money transfer platform M-Pesa has crossed 30 million users in Kenya as traders accepting payments through Lipa na M-Pesa doubled, cementing Safaricom's dominance in digital transactions in the country.
The giant telco's chief executive Peter Ndegwa announced Thursday that Kenya...
Habari wanajamvi?
Mimi niko powa kabisa, mimi ni mfanyabiashara na dukani kwangu nimeweka huduma za lipa kwa simu.
Huduma toka Tigo lipa kwa tigo pesa iko powa sana, baada ya malipo unapotaka kutoa pesa zako kwa sasa hakuna makato kwa mfanyabiashara. Kwa sababu ya changamoto iliyopo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.