m-pesa

M-Pesa (M for mobile, pesa is Swahili for money) is a mobile phone-based money transfer service, payments and micro-financing service, launched in 2007 by Vodafone Group plc and Safaricom, the largest mobile network operator in Kenya. It has since expanded to Tanzania, Mozambique, DRC, Lesotho, Ghana, Egypt, Afghanistan and South Africa. Meanwhile services in India, Romania, and Albania have been terminated amid low market uptake. M-Pesa allows users to deposit, withdraw, transfer money, pay for goods and services (Lipa na M-Pesa), access credit and savings, all with a mobile device.The service allows users to deposit money into an account stored on their cell phones, to send balances using PIN-secured SMS text messages to other users, including sellers of goods and services, and to redeem deposits for regular money. Users are charged a small fee for sending and withdrawing money using the service.M-Pesa is a branchless banking service; M-Pesa customers can deposit and withdraw money from a network of agents that includes airtime resellers and retail outlets acting as banking agents.
M-Pesa has spread quickly, and by 2010 had become the most successful mobile-phone-based financial service in the developing world. By 2012, a stock of about 17 million M-Pesa accounts had been registered in Kenya. By June 2016, a total of 7 million M-Pesa accounts have been opened in Tanzania by Vodacom. The service has been lauded for giving millions of people access to the formal financial system and for reducing crime in otherwise largely cash-based societies.

View More On Wikipedia.org
  1. NAWEZAJE KUA WAKALA MKUU ( SUPER AGENT) YAS, M-PESA

    Habari wakuu mbalimhali: 1. Naomba kujua namna ya kuwa SUPER AGENT wa mitandao ya SIMU ya YAS/TIGO na VODACOM/ M-pesa. 2. Pia naomba kujua utaratibu wa kua na TigoShop au Voda Shop mfano wa hizi tunazo enda kupata Huduma mbalimbali kama Milimani City. Natanguliza Shukrani
  2. Kimbilio langu kwa sasa ni huduma za M-Pesa na mitandao mingine hizi Bank hapana aisee!

    Majuzi bhana, nikaenda kuangalia salio. Kuna kipindi niliweka Tsh 100,000 kwenye akaunti yangu ya CRDB nione kama kuna hela ya kutoa ili nisaidie jambo fulani. Nilichokutana nacho huwezi amini πŸ™ŒπŸ™Œβ€” nadaiwa kama Tsh 56,547.68 na hela yangu yote imekula! πŸ˜‚ Nikaamua kuwaachia kadi yao na deni lao...
  3. Vodacom imekuwa na desturi ambayo ni sawa na wale wa "ile hela tuma kwa namba hii"

    "NullYou have insufficient balance to subscribe the service. But you can dial *137*09*02 to subscribe the service via M-Pesa". Hawa nao ni wale wa " ile hela tuma kwa namba hii", nao wanastahili kukamatwa. Vodacom imekuwa na desturi ambayo ni sawa na wale wa "ile hela tuma kwa namba hii"...
  4. H

    Vodacom wameniibia hela kwenye account yangu ya M-pesa

    Mnamo March 2024, nilituma hela kwa mtu nkaambiwa haikufanikiwa kwenda. Baada ya siku kama kumi, nikagundua Salio langu limepungua tofauti na transactions nilizofanya, Baada ya kujiridhisha nikawapigia simu huduma kwa wateja wakaniambia hela ilienda ila haikukatwa kwenye account yangu, nikahoji...
  5. K

    Wizi wa salio kwenye M-PESA wakati unanua vifurushi

    Habari! Wangapi kati yetu tushakutana na changamoto ya kupoteza pesa sababu tu Vodacom Mpesa wanakataa kurudisha pale vifurushi vinajinunua mara mbili wakati mmoja? Kuna haja ya kupaza sauti kwa aina mpya ya mitandao kuibia wateja wao.
  6. Je ninaweza kutumia Daraja API kufanya malipo ya M-pesa Tanzania

    Je ninaweza kutumia Daraja API ya Safaricom kufanya malipo ya M-pesa Tanzania kwa kutumia laini ya vodacom, Nataka kutumia technologia yao ya stk push
  7. R

    Naomba kujua kuhusu huduma za M-PESA na mitandao mingine nikiwa nje ya nchi

    Habari wakuu. Naomba kujua kama nikienda nje ya Africa nikitumia huduma ya international roaming kama bado naweza kufanya miamala ya kutuma na kupokea pesa kwenye simu. Shukran!
  8. K

    Nimebaki na elfu 4 tu kwenye m-pesa naona aibu kwenda kwa wakala kuitoa

    Wakuu, kufulia kusikie tu kwa jirani aisee. Hapa nilipo nimefulia kiasi kwamba nimebaki na elfu 4 tu iko kwenye m-pesa. Sasa nataka kwenda kwa wakala kuitoa lakini naona aibu wakuu.
  9. B

    Mwanafunzi auawa madai kuiba duka la M-Pesa

    MWANAFUNZI wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Ndugu, Mbozi mkoani Songwe, Daud Simkoko (17), ameuawa kwa kipigo kisha kuchomwa moto na wananchi kwa tuhuma za wizi katika duka la huduma za kifedha. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Rashid Ngonyani, amethibitisha...
  10. Msaada wa jinsi ya kutumiwa pesa na mtu akiwa nje kwa njia ya M-Pesa

    Nina ndugu yangu yuko Marekani anataka kunitumia pesa ila akituma iingie kwenye M-pesa yangu. Ameniambia wazi kuwa angetumia Western Union lakini makato yake ni makubwa. Naombeni msaada hasa nyie watu wa Vodacom hili litawezekanaje?
  11. T

    Tunaofanya biashara ya M-Pesa, Tigo-Pesa, Airtel Money, ..., na Uwakala wa Bank Tukutane hapa

    ????
  12. K

    Lipa kwa M-Pesa yavamiwa na wadangaji

    Hii sijui tuseme ndiyo kwenda na mabadiliko ya teknolojia ama vipi, sasa hivi wadangaji wengi wanamiliki hizi line za lipa kwa M-Pesa, kwahiyo hata kama ukitaka kumla na huna pesa taslimu anakwambia 'umtip' kwa M-Pesa. ni mwendo wa *150*00# mpaka kwenye papuchi.
  13. Vodacom Tanzania kusambaza huduma ya M-PESA nchi za SADC

    Watumiaji walio na M-Pesa ya Vodacom sasa wataweza kutuma na kupokea pesa kwa urahisi kwa nchi nane mpya zilizo na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (Sadc), kutokana na upanuzi wa jalada la mfumo wa uhamishaji pesa wa kimataifa (IMT). Nchi mpya zitakazotumika katika upanuzi huo ni...
  14. Ninashindwa kufikia menu ya M-Pesa

    Ndugu wanajopo, Kuanzia juzi hadi sasa sijaweza kuingia menu ya MPESA inayofunguliwa kwa code hii *150*00#. Kikawaida nikibofya, ninapata maelezo haya: "USSD code is running" kisha menu inafunguka. Lakini, kuanzia jana mambo yamegeuka, kanakuja kabox kanachohitaji nijaze "carrier info." Hiki...
  15. Nimekatwa Tsh 5,300 kuhamisha Tsh 50,000 kutoka NMB mobile kwenda M-PESA

    Nilikuwa sijawahi kutumia hii huduma lakini sasa nilijaribu wiki mbili zilizopita na sikuangalia salio. Muda huu nimepata bank statement kwenye email ndio naona hayo makato. Tsh. 5,300 (NMB Tsh. 4,491.53 na VAT Tsh. 808.47) imenishangaza kukatwa zaidi ya asilimia 10 ya fedha niliyohamisha...
  16. Vodacom M-Pesa acheni udokozi wa pesa zetu nitawashitaki

    Hi . Kuna upigaji wa vihela vidogovidogo huko M-pesa wanazani kua sisi ni wajinga hua hatufatilii taarifa za pesa zetu ndogo ndogo zilizoko huko M-pesa Leo nimejitumiakiasi cha shilingi 1,100 kwenye account yangu ya tigopesa pesa ili ninunue kifurushi makato ya huo muamala yalikua 385 hii sio...
  17. Vodacom wameanza wizi wa hela za M-PESA

    Juzi asubuhi nilikwenda kwa wakala kutoa pesa kabla ya kuanza mihangaiko ya siku nikawa nimebakiza salio katika simu takribani Tshs.15,000+,,,, Cha ajabu jioni wakati natoka mishe mishe nikawa nataka nijiunge kifurushi cha kuongea na simu nikafanikiwa kujiunga kilikuwa cha Tsh.500. Ujumbe...
  18. Pokea pesa kutoka Paypal kuja M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money

    Habari zenu wakuu, Kutokana na Paypal kutoruhusiwa kupokea pesa Tanzania, nafikiria kuanzisha huduma itakayosajiliwa ambayo itawawezesha watanzania kupokea pesa kutoka paypal na kuingia kwenye mitandao ya simu ya Tanzania kama M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money. Napokea maoni, ushauri na...
  19. Safaricom's M-Pesa crosses 30 million active users in Kenya

    Mobile money transfer platform M-Pesa has crossed 30 million users in Kenya as traders accepting payments through Lipa na M-Pesa doubled, cementing Safaricom's dominance in digital transactions in the country. The giant telco's chief executive Peter Ndegwa announced Thursday that Kenya...
  20. Lipa na M-Pesa ni upuuzi mtupu, hongereni sana Tigo

    Habari wanajamvi? Mimi niko powa kabisa, mimi ni mfanyabiashara na dukani kwangu nimeweka huduma za lipa kwa simu. Huduma toka Tigo lipa kwa tigo pesa iko powa sana, baada ya malipo unapotaka kutoa pesa zako kwa sasa hakuna makato kwa mfanyabiashara. Kwa sababu ya changamoto iliyopo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…