In late March 2022, the March 23 Movement (M23) launched an offensive in North Kivu, clashing with the Armed Forces of the Democratic Republic of the Congo (FARDC) and MONUSCO. The fighting displaced hundreds of thousands of civilians and caused renewed tensions between the Democratic Republic of the Congo and Rwanda, as the latter was proved of supporting the rebel offensive.
Serikali ya Uingereza imetangaza kusitisha kuhudhuria matukio yanayoandaliwa na serikali ya Rwanda na kusimamisha msaada wake kwa taifa hilo la Afrika Mashariki kutokana na waasi wanaoungwa mkono na Kigali katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Soma Pia: Serikali ya Uingereza yamuita...
VIONGOZI wa Makanisa Katoliki Nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (CENCO) pamoja na Kanisa la Kristo nchini humo (ECC), mapema leo Februari 12, 2025 wamekutana na kufanya mazungumzo na waasi wanamgambo wa AFC-M23 lengo likiwa ni kujadili udumishaji amani nchini humo.
Viongozi hao...
Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) limesema askari wake wawili wamefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa wakitekeleza majukumu ya ulinzi wa amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Congo.
Taarifa hiyo imetolewa leo Jumapili Februari 2, 2025 na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ...
M23 wanapigania rasilimali zao zisichukiliwe na wazungu kupitia puppets wao akina Tschisekedi na Marais wengine ambao Marekani au Magharibi inawapandikiza.
Ila kwa sababu sisi waafrika hatuangalii mambo kwa mapana tunawaona m23 kwamba eti ndo magaidi.
Afrika aliyeturoga alituua haswaa.
Tumezeeka kwenye vita
Tumezaa Watoto kwenye vita
Maisha yetu ni tabu tupu Kila siku kutanga Tanga
Hatuogopi kifo Kwa sababu bila Nchi hakuna maisha.
https://x.com/PolycarpMDM/status/1884236594225504315?t=Mmhl4wkXi0f7tnDfNiNRFw&s=19
My Take
M23 & DRC Wake chini wamalize tofauti zao,mipaka na...
Kushinda vita siyo Nguvu,siyo silaha,Siyo technology!
Kati ya kitu ambacho kinahitajika kwene mapigano yyte yale n SPIRIT /IMANI.
Imani yakutoshindwa, Imani ya kutoa kila ulicho nacho kupigana
Imani ya kutumia mbinu zote ulizonazo.
Najua wajuaji watabisha ila NIAMININI MM! Kati ya vitu hatari...
Leo tunajenga reli ya SGR kwa dhumuni ifike Mashariki mwa Congo. Swali ni Je hiyo reli itakuwa na faida kama Mashariki mwa Congo kukiendelea kuwa vitani namna hii?
Tuache suala la reli. Hivi Je Viongozi wetu hawajui tunaweza faidika kiuchumi endapo leo hii tukiwasaidia wazi Congo kwenye vita...
Ni kama ambavyo Rwanda ameingia makubaliano na msumbiji ili kulinda amani pale kwao kwa makubaliano ya makampuni ya kinyarwanda kunufaika zaidi kibiashara.
Mara ya kwanza ilikuwa ni Rwanda ndio inashitumiwa ila Sasa kumbe Hadi Uganda inasaidia ndugu zao wa Kitusi walioko Mashariki ya DRC.
---
Uganda ilitoa msaada kwa waasi wa M23 nchini Congo
Jeshi la Uganda limetoa msaada kwa waasi waM23 wanaoendesha harakati zao mashariki mwa Jamhuri ya...
Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wamechukua udhibiti wa Kanyabayonga, mji muhimu katika jimbo la Kivu Kaskazini mashariki mwa Kongo, katika hatua ambayo inawaona wakipata ardhi zaidi kutoka kwa mamlaka za nchi hiyo. Nyumba kwa zaidi ya wakazi 60,000 na makumi ya maelfu ya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.