m23 dr kongo

In late March 2022, the March 23 Movement (M23) launched an offensive in North Kivu, clashing with the Armed Forces of the Democratic Republic of the Congo (FARDC) and MONUSCO. The fighting displaced hundreds of thousands of civilians and caused renewed tensions between the Democratic Republic of the Congo and Rwanda, as the latter was proved of supporting the rebel offensive.

View More On Wikipedia.org
  1. Uingereza yasitisha msaada Rwanda kwa Kuunga Mkono waasi wa DRC

    Serikali ya Uingereza imetangaza kusitisha kuhudhuria matukio yanayoandaliwa na serikali ya Rwanda na kusimamisha msaada wake kwa taifa hilo la Afrika Mashariki kutokana na waasi wanaoungwa mkono na Kigali katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Soma Pia: Serikali ya Uingereza yamuita...
  2. Viongozi wa kanisa Katoliki na kanisa la kristo nchini DRC wamekutana na kufanya mazungumzo na waasi wanamgambo wa AFC-M23

    VIONGOZI wa Makanisa Katoliki Nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (CENCO) pamoja na Kanisa la Kristo nchini humo (ECC), mapema leo Februari 12, 2025 wamekutana na kufanya mazungumzo na waasi wanamgambo wa AFC-M23 lengo likiwa ni kujadili udumishaji amani nchini humo. Viongozi hao...
  3. Askari wawili JWTZ wafariki dunia, wanne wajeruhiwa mashambulizi ya M23 huko Goma, DRC

    Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) limesema askari wake wawili wamefariki dunia na wengine wanne wamejeruhiwa wakitekeleza majukumu ya ulinzi wa amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Congo. Taarifa hiyo imetolewa leo Jumapili Februari 2, 2025 na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ...
  4. D

    Ki ukweli M23 ndo wazalendo wa Congo ila perception yetu kwao ni hasi kwa sababu fikra zetu ni finyu

    M23 wanapigania rasilimali zao zisichukiliwe na wazungu kupitia puppets wao akina Tschisekedi na Marais wengine ambao Marekani au Magharibi inawapandikiza. Ila kwa sababu sisi waafrika hatuangalii mambo kwa mapana tunawaona m23 kwamba eti ndo magaidi. Afrika aliyeturoga alituua haswaa.
  5. Video: Maneno ya Kusikitisha ya Mwanajeshi wa DRC

    Tumezeeka kwenye vita Tumezaa Watoto kwenye vita Maisha yetu ni tabu tupu Kila siku kutanga Tanga Hatuogopi kifo Kwa sababu bila Nchi hakuna maisha. https://x.com/PolycarpMDM/status/1884236594225504315?t=Mmhl4wkXi0f7tnDfNiNRFw&s=19 My Take M23 & DRC Wake chini wamalize tofauti zao,mipaka na...
  6. Kwanini Jeshi la kongo au watu wakongo hawapigani kama Hamas au Wavietnam? Ni dhaifu kiasi hicho? woga au ni kukosa imani

    Kushinda vita siyo Nguvu,siyo silaha,Siyo technology! Kati ya kitu ambacho kinahitajika kwene mapigano yyte yale n SPIRIT /IMANI. Imani yakutoshindwa, Imani ya kutoa kila ulicho nacho kupigana Imani ya kutumia mbinu zote ulizonazo. Najua wajuaji watabisha ila NIAMININI MM! Kati ya vitu hatari...
  7. Kuna shida gani Tanzania ikitangaza rasmi kuisaidia Congo kupambana na M23? Tuna Viongozi wa namna gani?

    Leo tunajenga reli ya SGR kwa dhumuni ifike Mashariki mwa Congo. Swali ni Je hiyo reli itakuwa na faida kama Mashariki mwa Congo kukiendelea kuwa vitani namna hii? Tuache suala la reli. Hivi Je Viongozi wetu hawajui tunaweza faidika kiuchumi endapo leo hii tukiwasaidia wazi Congo kwenye vita...
  8. Kwanini Tanzania isiombe kuingia mkataba na DRC ili kuwaondoa waasi wa M23 ?

    Ni kama ambavyo Rwanda ameingia makubaliano na msumbiji ili kulinda amani pale kwao kwa makubaliano ya makampuni ya kinyarwanda kunufaika zaidi kibiashara.
  9. Kama Uganda na Rwanda Wanaisaidia M23, nini Mustakabali wa DRC Congo? Je, lengo ni kuanzisha Taifa lingine la Watusi?

    Mara ya kwanza ilikuwa ni Rwanda ndio inashitumiwa ila Sasa kumbe Hadi Uganda inasaidia ndugu zao wa Kitusi walioko Mashariki ya DRC. --- Uganda ilitoa msaada kwa waasi wa M23 nchini Congo Jeshi la Uganda limetoa msaada kwa waasi waM23 wanaoendesha harakati zao mashariki mwa Jamhuri ya...
  10. Waasi wa M23 Wauteka Mji Muhimu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wamechukua udhibiti wa Kanyabayonga, mji muhimu katika jimbo la Kivu Kaskazini mashariki mwa Kongo, katika hatua ambayo inawaona wakipata ardhi zaidi kutoka kwa mamlaka za nchi hiyo. Nyumba kwa zaidi ya wakazi 60,000 na makumi ya maelfu ya watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…