Waasi wa M23 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameingia Bukavu, mji wa pili kwa ukubwa katika eneo hilo la mashariki.
Corneille Nangaa, kiongozi wa Muungano unaojumuisha waasi wa M23, ameliambia shirika la habari la Reuters kuwa waasi hao waliingia katika mji mkuu wa jimbo la Kivu Kusini...