Kati wa watu wanaothamini sana uhai wa watu wao hapa duniani ni Israel. Ikitokea raia wa Israel au Mwanajeshi wa Israel amefariki kwenye mapigano au tukio lolote lile la Kigaidi haijalishi inapita muda gani, Israel ni lazima walipize kuuliwa kwa mtu wao.
Tabia hii ya Israel inapekea sio tu...
Uingereza siku ya Jumanne ilitangaza kwamba imemuita Balozi wa Rwanda nchini Uingereza baada majeshi ya Ulinzi ya Rwanda na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda kusonga mbele katika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
"Hatua hizi ni ukiukaji usiokubalika wa uhuru na uadilifu wa...
Mamia ya wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) wameripotiwa kuuawa katika operesheni za siri Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Kuuawa kwa wanajeshi hao katika operesheni hiyo kunapingana na msimamo wa Serikali ya Rwanda inayodai askari wake hawahusiki wala kushiriki...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki Mkutanon wa Dharura wa wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC Harare Nchini Zimbabwe, leo tarehe 31 Januari, 2025
https://www.youtube.com/live/selwjXLEMCQ?si=VsaQ5QjvugXCzmL3