m23 wavamia miji muhimu drc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mfahamu kiongozi wa waasi wa M23

    Kiongozi mkuu wa makundi ya waasi mashariki mwa Kongo Corneille Nangaa, Nangaa ni mfano wa viongozi wengi wa dunia ya tatu. Nangaa sababu ya yeye kuingia kwenye uasi anasema ni kwamba alipokuwa mkuu wa tume ya Uchaguzi ya nchi hiyo maarufu kama CENI alishirikiana na mteule wake Rais Joseph...
  2. Video: Maneno ya Kusikitisha ya Mwanajeshi wa DRC

    Tumezeeka kwenye vita Tumezaa Watoto kwenye vita Maisha yetu ni tabu tupu Kila siku kutanga Tanga Hatuogopi kifo Kwa sababu bila Nchi hakuna maisha. https://x.com/PolycarpMDM/status/1884236594225504315?t=Mmhl4wkXi0f7tnDfNiNRFw&s=19 My Take M23 & DRC Wake chini wamalize tofauti zao,mipaka na...
  3. Machafuko makubwa yarindima Kinshasa, vijana waandama ubalozi wa Uganda na Ufaransa

    Amani iwe kwenu watu wa MUNGU Huko kinshansa kimenuka Ubalozi wa Uganda na Ufaransa wachomwa moto na vijana wenye hasira kali Wanalilaumu JESHI lao kuiacha Goma mikononi mwa M23 LONDON BOY
  4. Waasi wa M23 Wauteka Mji Muhimu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

    Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wamechukua udhibiti wa Kanyabayonga, mji muhimu katika jimbo la Kivu Kaskazini mashariki mwa Kongo, katika hatua ambayo inawaona wakipata ardhi zaidi kutoka kwa mamlaka za nchi hiyo. Nyumba kwa zaidi ya wakazi 60,000 na makumi ya maelfu ya watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…