Katika dunia ya leo, tunashuhudia hali ya kushangaza sana ambapo watu wanaofanya maovu wanaheshimiwa na kutukuzwa, na wakati mwingine kuwa mfano wa kuigwa, watu ambao maisha na mienendo yao sio yenye staha katika maisha ya kawaida. Hali hii inanifanya nijiulize: Kuna jamii ina haki ipi katika...
Hili jambo limesumbua sana wazazi, na shule zingine huwezi kiuamini kama wanafanya mchezo huo kwa sababu ni shule za dini mno,ila watoto wakiwa pale, wanaanziana huo mchezo mchafu.
Hivi hizo shule hazina waalimu? hawana intelijensia ya shule, mbona wakifanya uchunguzi wanafunzi wenyewe...
Kuna jambo huenda watu wengi hawalifahamu . Umewahi kujiuliza mwanaume ujasiri wa kusuka kichwa anautoa wapi?
Umewahi kujiuliza mwanaume ujasiri wa kuvaa hereni masikioni au puani anautoa wapi?
Jibu ni hili hapa chini 👇👇👇
Mkuu wa Dunia hii almaarufu Shetani ibun Ibilisi ndiye anayewapa...
Yani hii generation yetu imeharibika. Wanaume wanaojitambua na wapo tayari kuoa ni wachache na wanawake wanaojitambua ambao wako tayari kuolewa ni wachache, waliobaki wote ni vichefuchefu.
Wanaume wanakimbia majukumu yao na wana uwoga wa maisha na wanawake wanataka wanaume wenye pesa tu. Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.