maadili mema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kazanazo

    Napendekeza njia hii itumike ili kuimarisha maadili mema nchini

    Badala ya kuotesha majani halafu tuzuie mbuzi wasile ni bora tusioteshe majani ili hao mbuzi wasipate pakula Badala ya kuweka mianya ya rushwa kupitia katiba halafu tuzuie viongozi wasile rushwa ni bora tukaziba mianya ili hao viongozi wasipate pakulia hiyo rushwa Badala ya kuingiza mitumba...
  2. Z

    Malezi mema ndio msingi wa maadili mema

    Jamii Imetakiwa Kuwa na Mashirikiano Katika Kulea Watoto Ili Kuwakuza Katika Maadili Mema. Ushauri huo umetolewa na katibu wa kamati za maadili kutoka Jumuiya ya Maimamu Zanzibar JUMAZA Abdallah Mnubi Abass wakati akizungumza na wanawake wa kiislamu huko tomondo mshelishelini Wilaya ya magharibi...
  3. Msukusu

    Viboko Mashuleni Kukomeshwa, Je Imechangia Kwa Maadili Kuporomoka Au Maadili Mema Kuongezeka?

    Wakubwa habari zenu mimi ni kijana wa 30+ na hivi karibuni natarajia kupata mtoto wa pili, majaliwa ya mwenyezi mungu. Haya tujikite kwenye mada hapo juu, kwa jamii ninayo ishi nimeshuhudia vitendo viovu na maadili mabaya hasa kwa wadogo zetu, wengine watoto ambao unao uwezo wa kumzaa...
  4. Miss Zomboko

    Wazazi tukumbuke kuimarisha misingi ya maadili mema kwa watoto wetu si jambo linalofanyika mara moja, bali ni mchakato endelevu

    Maadili na tabia njema huchangia kwa kiasi kikubwa katika kujenga na kuimarisha jamii yenye amani na umoja. Tunapolea watoto katika misingi ya maadili mema na tabia njema, tunaimarisha uelewa na uwezo wao wa kupambanua matendo mema na mabaya. Pamoja na hivyo, wazazi tunapaswa kuwajengea watoto...
  5. Nyendo

    Mzazi/ mlezi kabla hujaweka picha, video ya mtoto mtandaoni jiulize kama ataifurahia akikua

    Ni kama fashion sasa hivi watu kuwarekodi watoto kwa video fupi au kuwapiga picha wakiwa katika harakati zao za maisha ya kitoto. Kwa kuwa mtandao imekuwa mbadala wa albam kwenye kutunza kumbukumbu ni jambo jema kutunza kumbukumbu za makuzi ya mtoto iwapo unaona ni lazima ukatunze mitandaoni...
  6. MrsPablo1

    Wasaidizi wa kazi za nyumbani wenye uzoefu na maadili mema

    Kuna mabinti watatu wanatafuta kazi Umri ni miaka 21,20,18, Elimu kidato cha nne, Wanauzoefu wa kutosha na kazi zote za nyumbani. Mimi nafahamia na binti mmoja huyo wa miaka 21, hao wengine ni wadogo zake. Mshahara utategemea na ukubwa wa familia yako, kati ya 70,000/ mpaka 100,000/. Wapo...
  7. M

    Rais John Magufuli ndiye sampuli ya Mtanzania mwenye maadili mema

    KOMREDI JOHN MAGUFULI, NDIYE SAMPULI YA MTANZANIA MWENYE MAADILI MEMA Leo 15:15pm,15/09/2019. Komredi Rais John Magufuli ndiye muungwana na mstaarabu anayefuata mambo mema yaliyokubaliwa katika jamii, naamini ndiye Kiongozi mwenye kuita koleo ni koleo na kijiko ni kijiko, ndiye mwenye...
Back
Top Bottom