Wakuu,
Baadhi ya Viongozi wa dini katika kata ya Kigwa wilaya ya Uyui mkoani TABORA wametaka viongozi wa serikali za vijiji na vitongoji katika kata hiyo waliochakuliwa katika uchaguzi wa Serikali za mitaa mwezi uliopita kutenda haki na kuwa na hofu na Mwenyezi Mungu wakati wakitimiza majukumu...
Dar es Salaam. Tarehe 27 Agosti 2024: VIONGOZI wa dini nchini wameipongeza Benki ya CRDB kwa kuzindua Akaunti ya Sadaka mahsusi kwa ajili ya taasisi za dini kukusanya sadaka, zaka na michango mingine inayolenga kuwarahisishia waumini kumtolea Mwenyezi Mungu wakati wa ibada au hata wanaposhindwa...
Wazo kuu.
Hili wazo mlifanyie kazi, Kwa maslahi mapana ya nchi zetu, ni kweli katiba ya nchi inatambua uhuru wa kuabudu,
Lakini serikali kupitia taasisi zake mnafaa kuangazia hilo kwani itasaidia kulinda utu wa mtanzania kutikana na viongozi wa dini wenye tamaa ambao huishia kuwatapeli wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.