maadili ya media

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. realMamy

    Baadhi ya media siku hizi hazina vitu vya maana. Viongozi mko wapi?

    Ni uhuru umezidi au? Yaani watoto wanajifunza nini Jamani? Ukijaribu kuwaza kuwa wanamaanisha nini hata huwezi kuelewa. Mambo ya ajabu ajabu yamezidi hakika. Yaani kipindi kinaendeshwa siku nzima hakuna la kujifunza. Viongozi mko wapi? Ifike mahali Viongozi washushe Rungu Lao.
Back
Top Bottom