Wanawake wenu na watoto wenu wanaharibika, si kwa sababu yao pekee, bali kwa sababu nyinyi ni watu wa hovyo! Mmesahau majukumu yenu kama viongozi wa familia na jamii, mmekaa kimya mkiona kila kitu kinaporomoka huku mkijifanya hamuoni! Mmegeuka wanaume wa mzaha—watu wa starehe, watu wa mizinga...