maadili ya wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Moja ya dalili ya kijana kukosa maadili ya wazazi ni kuwafanya Wasanii wa muziki, drama na Filamu kuwa Role Model

    Mpo salama Kabisa! Ukiona watoto au kijana ambaye ni fuata mkumbo, fasheni, mfuasi na kawageuza Wasanii wa Muziki, Drama, na Filamu kuwa Role model ujue tayari mzazi au mlezi kuna mahali amefeli. Na ili umfelishe mtu yeyote au Jamii yeyote itakupasa uwape nguvu Wasanii wa drama, Filamu na...
  2. Wazazi hawana aibu ndio maana watoto hawana adabu

    Mtu akisha kosa aibu anaweza fanya au ongea jambo lolote lile. 1. Ilikuwa ni aibu kwa wazazi kuozesha binti yao na akawa sio bikra, now si aibu. 2. Ilikuwa ni aibu mtoto kuzalia nyumbani bila ndoa sasa si aibu tena. 3. Ilikuwa ni aibu kwa wazazi kupokea mali yoyote kwa mtoto wao bila kujua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…