Vikundi vya kigaidi kama Hamas hutumia raia wa kawaida kina mama na watoto kuwa ngao ili kuipa Israel wakati mgumu kwenye mashambulizi tofauti na wao wakipata hata nafasi ndogo ya kuingia Israel kama October 7 walilenga zaidi kuua raia yeyote lengo likiwa kuua waisrael wengi kadri iwezekanavyo...