maadui wa taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unavoidable Servant

    Ni vizuri kuwajuwa maadui wa Taifa, thread hii itumike kuwatambuwa maadui waliokata jina la Mwabukusi TLS

    JF ni maktaba ya Taifa, ni vizuri tukawajuwa maadui wa Taifa letu waliopo TLS walioshiriki kukata jina la Mwabukusi kugombea Urais wa TLS kabla Mwabukusi kutumia mahakama kupata haki yake ili watambulike kama ni Enemy of State. Watajwe hapa kamati nzima kwa majina ili waone aibu yao na...
  2. MKATA KIU

    Ujinga, maradhi, umaskini, imani za kishirikina na imani za kuamini dini za wakoloni ndio maadui wa Tanzania

    Hawa ndio maadui wa Taifa letu: 1. Ujinga 2. Maradhi 3. Umaskini 4. Imani za kishirikina yaani ( kuamini uchawi , waganga wa kienyeji na Maustaz wasoma Nyota na kutoa majini ) 5. Imani za Dini tulizolotewa na wakoloni ambazo ni ukristo na uislamu. Hawa watano ndio maadui wa kweli wa...
  3. Pang Fung Mi

    Nakukumbusha: Zuhura na Salim Kikeke walikuwa miongoni mwa waliokosoa utawala wa Magufuli wakiwa BBC Swahili

    Tafadhari sana Watanzania nawakumbusha kwa rejea ya hawa watu Zuhura Yunus na Salim Kikeke nyakati za utawala wa Ndugu Hayati Rais Magufuli hawa viumbe hawakuwa na taswira wala nafsi zenye uzalendo na upendo kwa Taifa letu, na si hivyo tu pia hawakuwahi kuwa na news contents zenye kuinua taswira...
  4. Mag3

    Danadana ya kupatikana Katiba mpya lengo ni kuhalalisha mikataba mibovu

    Baada ya Bunge la CCM kupitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World ya Dubai hakuna tena shaka kuwa adui wa taifa hili ni CCM. Kumbe ile dana dana iliyokuwa ikipigwa kuchelewesha upatikanaji wa Katiba Mpya, ilikuwa kuwezesha Tanzania kuingia laini katiba mikataba ya aina...
  5. MzeeKipusa

    Hawa hapa maadui wa Taifa la Tanzania

    Enzi zetu wakati nakuwa mambo hayakuwa kama ilivyo sasa. Nakumbuka, nilikuwa nikishuhudia viongozi wengi sana wakistaafu huku wakiwa hawana miliki ya vitu vingi. Nionavyo Mimi, naona tayari MEZA imeishapinduliwa. Maadui wakubwa wa Tanzania ni: 1. UJINGA (Enzi zetu hii ilikua kwà WANANCHI/...
Back
Top Bottom