Enzi zetu wakati nakuwa mambo hayakuwa kama ilivyo sasa.
Nakumbuka, nilikuwa nikishuhudia viongozi wengi sana wakistaafu huku wakiwa hawana miliki ya vitu vingi.
Nionavyo Mimi, naona tayari MEZA imeishapinduliwa.
Maadui wakubwa wa Tanzania ni:
1. UJINGA (Enzi zetu hii ilikua kwà WANANCHI/...