Wafanyabiashara watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashtaka 31 ya kuua bila kukusudia.
Washtakiwa hao ambao wanadaiwa kuwa wamiliki wa jengo lililoanguka mtaa wa Mchikichi na Congo, Kariakoo jijini Dar es Salaam na kusabanisha vifo vya watu...
Idadi ya vifo vilivyotokana na kuporomoka kwa jengo la ghorofa, Kariakoo jijini Dar es Salaam vimefikia 29, baada ya miili mingine tisa kupatikana.
Jengo hilo liliporomoka asubuhi ya Jumamosi Novemba 16, 2024 na kusababisha vifo, majeruhi zaidi ya 80 na uharibifu wa mali za mamilioni ya fedha...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amezindua rasmi "Bata la Disemba - End of the year Carnival," akisisitiza kuwa hafla hiyo ni ya kipekee kwa wananchi wa mkoa huo, na inalenga kujipongeza baada ya changamoto mbalimbali zilizojitokeza, ikiwemo ajali ya jengo lililoanguka Kariakoo...
Mtangazaji wa Wasafi Fm, Diva Malinzi na Mfanyabiashara Jenifer Jovin maarufu Niffer wameandika barua za kuomba radhi (Kusamehewa) baada ya kupatikana na tuhuma za kuchangisha michango kwa ajili ya Wahanga wa janga la Kariakoo bila kufuata utaratibu.
Pia, Soma:
• Polisi: Tunawashikilia Niffer...
Muigizaji maarufu wa filamu nchini Tanzania, Steven Nyerere, ameonyesha kutoridhishwa na hatua ya mfanyabiashara Niffer kumjibu Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, kupitia mitandao ya kijamii. Hii ilitokea baada ya Niffer kuitwa kituo cha polisi kwa mahojiano kufuatia kampeni yake ya kuchangisha...
Tarehe 16 Novemba 2024 eneo la Kariakoo Dar es salaam kulitokea tukio la kuporomoka kwa jengo la biashara. Wakai jitihada mbalimbali zikifanywa na Serikali na sekta binafsi kuhusiana na jinsi ya kuwaokoa watu katika eneo hilo , zilipatikana taarifa za watu wasio na mamlaka yoyote ya kisheria ya...
Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana.
Mfanyabiashara huyo alijisalimisha kwa Jeshi la Polisi jana baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza Jeshi hilo kumhoji kwa kosa la...
dar
dar es salaam
dodoma
ghorofa la kariakoo
jeshi
jeshi la polisi
kwenda
maafakariakoo
maarufu
mfanyabiashara
mtandaoni
niffer
polisi
taarifa
wamsafirisha
Mfanyabiashara maarufu Jennifer Jovin, anayefahamika kama Niffer, ametoa majibu yake baada ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, kumtaja katika hotuba yake ya hadhara akitaka afuatiliwe na kueleza nani aliyempa mamlaka ya kuchangisha fedha kufuatia ajali ya...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amesema hakuna mtu yeyote ambaye anaruhusiwa kuchangisha fedha kufuatia tukio la ajali ya kupomoka kwa grorofa la Kariakoo.
Pia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kuzungumza katika eneo hilo akasema JENIFER JOVIN maarufu...
choo
diva
eatv
ghorofa
ghorofa kariakoo
jeshi la polisi
kariakoo
kuchangisha
kumpiga
kupitia
kushindwa
maafakariakoomaafa ya kariakoo
marufuku
michango
niffer
niffer akamatwa
serikali
wahanga wa ajali
wahanga wa kariakoo
Wakati shughuli za uokozi wa jengo la ghorofa kuporomoka zikiingia siku ya tatu leo Jumatatu, Novemba 18, 2024, maduka yaliyo eneo la Msimbazi na yale ya Mchikichini, Kariakoo jirani na jengo hilo yamezuiwa kuendelea na biashara.
Mbali na maduka, usafiri wa umma yakiwamo mabasi ya mwendokasi...
Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt Jim James Yonazi ametoa akaunti maalum ya Serikali ambayo Watanzania wataitumia ili kutuma fedha kwa ajili ya kuwachangia waliopata maafa Kariakoo.
Jina la Akaunti
National Relief Fund
Namba ya Akaunti
9921159801...
"Changamoto kubwa ni namna jengo lilivyodondoka maana watu wengi wamekamatika chini kwenye basement na jengo lilivyodondoka unaona upande mmoja jengo linaonekana na upande mwingine halionekani hivyo kifusi chote kimekusanyika upande mmoja sasa namna ya kukitoa kile kifusi kuwawahi watu na haujui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.