maafa ya kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Kesi ya ghorofa lililopromoka Kariakoo kuanza kusikilizwa leo. Watuhumiwa 3 wapelekwa mahakamani

    Baada ya takriban miezi miwili, kesi ya kuua bila kukusudia inayowakabili wamiliki watatu wa jengo lililoporomoka mtaa wa Mchikichi na Congo, eneo la Kariakoo, itatajwa Leo Januari 13, 2025 katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam. Kesi hiyo inasikilizwa na Hakimu Mkazi...
  2. Waufukweni

    RC Chalamila: Msemaji Mkuu wa Serikali kutoa taarifa kuhusu mwenendo wa Uokoaji maafa ya Kariakoo na siku ya kufungua maduka

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaamm, Albert Chalamila, amesema kuwa Msemaji Mkuu wa Serikali atatoa taarifa rasmi kuhusu mwenendo wa zoezi la uokoaji katika eneo la Kariakoo, ambapo maafa yalitokea hivi karibuni. Chalamila ameeleza kuwa zoezi la uokoaji linaendelea na taarifa kamili kuhusu hali ya...
  3. Mkalukungone mwamba

    Nabii Mtalemwa alitabiri kuhusu ajali ya Kariakoo. Kuna haja ya kuanza kufatilia tabiri hizi au alibahatisha?

    Katika nyakati tofauti Apostle Mtalemwa alitoa unabii juu ya maafa yanayoweza kutoka Kariakoo na ilikuwa 21/ 1/ 2024 na alisema hivi kutakuwa na dibeti wakandarasi wafanye hivi wafanye vile is matter of prayer na kumuuliza Mungu turehemu. Niliona ramani ya Nchi imezungukwa na waganga wa...
  4. The Watchman

    LGE2024 Makonda awaomba viongozi wa dini kuhubiri amani uchaguzi wa serikali za mitaa

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewaomba viongozi wa dini mkoani humo kutumia nafasi zao kuhamasisha waumini wajitokeze katika uchaguzi wa Serikali za mitaa na amani itawale. Makonda amesema hayo leo Jumanne Novemba 19, 2024 alipozungumza na viongozi wa dini wa madhehebu kuelekea uchaguzi...
  5. Waufukweni

    Makamu Mwenyekiti Umoja wa Wazazi CCM ampongeza Rais Samia kwa maagizo ya maafa ya Kariakoo

    Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dogo Iddi Mabrouk (MNEC) alifika Kariakoo eneo ambalo jengo la ghorofa lilipoanguka na kusema kuwa wanamshukuru Rais Samia kwa maagizo aliyoyatoa kuhusu kadhia hiyo.
  6. Waufukweni

    Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amesema hakuna mtu yeyote ambaye anaruhusiwa kuchangisha fedha kufuatia tukio la ajali ya kupomoka kwa grorofa la Kariakoo. Pia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kuzungumza katika eneo hilo akasema JENIFER JOVIN maarufu...
  7. Anti-tozo

    Kwa hili lililotokea kariakoo jana kama bado tunahitaji kujifunza na majanga.

    Basi tutakuwa na vichwa vigumu sana 1.kwa tathmini ya haraka haraka ni majengo mangapi mpaka sasa kariakoo hapo hapo ujenzi unaendelea na biashara bado zinafanyika papo hapo? 2.Tunachukua hatua gani kupitia mfano huu? 3.Bado kwenye swala la kufanya maokozi katika majanga ni changamoto kwetu...
  8. shamimuodd

    Mitungi ya Oxygen ya Muhimbili ingetumika Kariakoo

    GTs, Nawaza sana wenzetu wanavyoumia kwa kukosa hewa na kibaya mitungi ya oxygen ipo pale Muhimbili, inakuwaje haijapelekwa Kariakoo kutoa hewa safi kwa wahanga waliokwama chini ya vifusi??
  9. and 300

    Ukipatwa janga TZ usitegemee Msaada wa haraka

    1. Kwenye sekta ya uokozi bado sana. Majanga hatujayapa kipaumbele zaidi ya ununuzi wa Magari ya kifahari. (MV Bukoba, Ajali ya Treni Dodoma, Tetemeko Bukoba, COVID, Ajali precision air, jengo kuanguka Kariakoo). 2. Watu wamekwama hapa hapa kariakoo siku ya pili bado hakuna aliyejiuzulu mpaka...
  10. Mshana Jr

    Video za uokozi maafa ya kariakoo

Back
Top Bottom