Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewaelekeza maafisa ardhi katika wilaya ya Monduli na Longido kushiriki kikamilifu katika zoezi la kurejesha mawe ya mpaka ya wilaya hizo mbili yaliyong'olewa na kupoteza utambuzi wa mpaka huo.
Naibu Waziri Pinda amesema...
Katika muendelezo wa kile waziri wa ardhi Jerry Silaa anachokiita kliniki ya ardhi na kutatatua changamoto za ardhi ameendelea kupuuza kabisa documents/nyaraka halali za serikali na mahakama za wale wanaodaiwa kuwa ni wavamazi au wanunuzi matapeli waliojimilikisha ardhi za watu wengine. Yani mtu...
Huyu ni Waziri, kazuia watu kushauriwa waende Mahakamani, na ndiye anapaswa kusimamia utawala wa sheria, anataka watu wachapane makonde mitaani? Amewapa maafisa ardhi gepu la kufanya bomoa bomoa nchi nzima kama yeye anavyofanya?
Ajabu kabisa huyu ni mwanasheria!
Kuna mtu ambaye hajui hawa ndio...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Manyara imemfikisha Mahakamani Bw. IDDI ISSA RULAMYE - Mpima Ardhi Msaidizi aliyekuwa Halmashauri ya Mji Babati na Wenzake Wawili.
Washtakiwa hao wamefikishwa mbele ya Mh. MARTINE MASAO Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa wa Manyara kwa makosa ya...
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amewataka Maafisa Ardhi nchini kutoa elimu ya matumizi bora na sahihi ya ardhi ili kuepusha migogoro ya wakulima na wafugaji nchini.
Mhe. Khamis Hamza Khamis Ametoa agizo hilo wilayani Mvomero mkoani Morogoro...
Nampa angalizo tu, na pia nimejiuliza swali Hilo.
Labda Angelina ana hofu kwamba Yuko karibu na mtoto wa the most influential person, na anaweza kumkorogea mambo wakati wowote ule.
Maji yakitulia tutaona chini Kuna nini.
Wanasema Kuna "amri kutoka juu" na wanamtaja yeye huku vijiweni baada ya...
Kustaafu ni kufikia uwezo wa kifedha wa kuweza kufanya chochote utakacho kulingana na kiasi cha utajiri wako.
Kwangu mimi kustaafu sio kuacha kufanya kazi (ajira au biashara). Neno kustaafu nimekutumia kwa lengo la kumaanisha kueleza hatua anayofikia mtu ya kifedha.
Sina maana uache kufanya...
Hakika katika wizara zilizoshindika ni pamoja na wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi bora wizara ikahamia ofisi ya rais labda watendaji wake wataheshimu sheria.
Maafisa ardhi Manispaa ya Sumbawanga wamekuwa wanachochochea migogoro ya ardhi baina ya wamiliki halali wenye hati milki za...
Maafisa ardhi wanataka kuiingiza serikali kwenye mgogoro mkubwa na wamiliki wa viwanja wanaovimiliki kwa title deed za miaka 66 huko kizwite.
Maafisa ardhi wanashirikiana na matapeli wa ardhi wakiwadanganya kuwa mashamba ya marehemu wazazi wao hawakulipwa fidia wakati wa upimaji viwanja hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.