maafisa habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    naomba kujua mishahara ya maafisa habari / wasemaji wa vilabu vya nbc premier league ukiondoa tu wanaolipwa vyema wa yanga, simba na azam tafadhali

    kuna wa klabu moja nasikia pamoja na mikogo yake yote popote pale alipo analipwa shilingi laki tano tu ya mafungu
  2. Kwanini tunajali Maafisa Habari kuliko Madaktari?

    Kuna nchi Afisa Habari ana muhimu zaidi kuliko hata Madaktari wanaookoa maisha ya Mama zetu Vijijini. Waandishi/ Maafisa Habari, wanapewa posho kila kikao, audience kibao. Hivi ni lini tutaheshimu na kuwathamini Madaktari wa binadamu Kwa maslahi na vifaa kazi? PIA SOMA - Kwanini Serikali...
  3. SACP David Misime awataka Maafisa Habari wa Jeshi la Polisi kuimarisha uhusiano na Waandishi wa Habari

    Maafisa Habari wa Jeshi la Polisi nchini wametakiwa kuimarisha uhusiano na Waandishi wa habari ili kwa pamoja waweze kuelimisha jamii kuhusu miradi mbalimbali ya Polisi Jamii kwa lengo la kutokomeza uhalifu. Hayo yamesemwa na Msemaji wa Jeshi Polisi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)...
  4. M

    Maafisa Habari, Waandishi wa Habari kila mmoja atimize majukumu yake. Waandishi acheni kulazimisha kupewa hela kama haupo kwenye bajeti

    Kuna tabia ambayo imeshika kasi kwa baadhi ya maafisa habari binafsi na hata wa Serikali. Wanapoandaa matukio yao mara nyingi huwa wanavyombo vya habari ambavyo wamevialika, anapofika Mwandishi wa Habari ambaye hayuko kwenye orodha yao wengine huzuiwa kuchukua matukio Kwa kigezo kwamba hawako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…