Mimi leo naomba wanajamvi munifafanulie mamlaka ya Afisa Tarafa Kikatiba au kwa mujibu wa katiba, napenda kujua kwasababu ktk zunguka yangu Mimi kama Mimi nimeshindwa kuwaelewa kabisa.
Sababu ni kwamba baadhi yao wamekuwa hawayajui kabisa mamlaka yao na HIVYO kujikuta wakidili na majukumu hadi...