maafisa ugani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunaomba mtupazie sauti, Watumishi wa Umma ngazi ya Kata, tunateswa na Madiwani, Watendaji na Uongozi wa CCM

    Tumeajiriwa kama wataalamu wa Kata, lakini baadhi ya Watendaji wa Kata wanatulazimisha kubaki ofisini na kufanya majukumu ambayo kimsingi ni yao. Hali hii inaturudisha nyuma kimaadili na kiutendaji. Tunachangishwa michango ya chama, wakati kwa maadili ya utumishi wa umma, wataalamu tunapaswa...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Ruhoro Awasilisha Hoja za Maafisa Ugani Bungeni

    MBUNGE NDAISABA RUHORO AWASILISHA HOJA ZA MAAFISA UGANI BUNGENI Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro leo tarehe 09 Mei, 2025 bungeni jijini Dodoma amefikisha mahitaji ya maafisa ugani ili waendelee kuwahudumia wananchi kwa ufanisi zaidi. Katika maswali yake, Ndaisaba Ruhoro...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Ashatu Kijaji : Agawa pikipiki 700 na vishkwambi 4,500 kwa ajili ya matumizi ya maafisa ugani Morogoro

    Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Ashatu Kijaji amegawa pikipiki 700 na vishkwambi 4,500 kwa ajili ya matumizi ya maafisa ugani wa sekta ya mifugo mkoani Morogoro. Dkt. Kijaji amesema hatua hiyo itasaidia kuondoa migogoro ya wakulima na wafugaji wilayani Kilosa na mkoani Morogoro kwa ujumla huku...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Kikao cha Maafisa Ugani na Wanaushirika, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 10 Agosti 2024

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Kikao cha Maafisa Ugani na Wanaushirika, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 10 Agosti 2024.
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Kikao na Maafisa Ugani, Ikulu ya Chamwino, Agosti 10, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=e_BQv2Q_JjE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Akishiriki Kikao na Maafisa Ugani na Wanaushirika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 10 Agosti, 2024. UPDATES ABDULMAJID NSEKELA, M/kiti Kamisheni ya Tume ya Maendeleo ya Ushirika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…