Pichani anaitwa Kevin Charles.
Jina la maarufu hapa kibaha maili moja anaitwa Masai.
Ni kijana mzaliwa wa Arusha alikuja kibaha kwa harakati za kutafuta pesa KELVIN CHARLES alipata ajali ya pikipiki na kufariki dunia kipindi anakimbizwa katika hospital ya Tumbi majuzi Jumatatu jioni.
Mpaka...
Kuna dogo ni jirani yetu kijijini, nimempita kama miaka 12-15 Nilimwona miaka 5 imepita Kariakoo akifanya kazi kwa Wahindi na juzi nimemwona Kazini analeta bahasha akiwa na boda. Anasema aliacha kazi kwa Wahindi na kujiingiza kwenye ubodaboda.
Kijana kazeeka ghafla utadhani kanizidi umri. Kuna...
Waziri Mchengerwa akiwa katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salam, wakati akizindua sare maalum (uniform) na mfumo wa kidijitali (kanzidata) wa madereva Bodaboda na bajaji wa Jiji la Dar es Salaam. Waziri huyo ameonekana kuwatambua madereva bodaboda na bajaji kama Maafisa usafirishaji...
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa jana alikuwepo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijiji Dar es Salam wakati akizindua sare maalum (uniform) na mfumo wa kidijitali (kanzidata) wa Madereva bodaboda na Bajaji wa Jiji la Dar es salaam.
Sare hizi zina picha ya Rais Samia kama zinavyooneka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.