Kuna watu wengi wasioelewa mtililiko wa vyeo vya maafisa wa jeshi hasa kwa vile Jeshi letu (na majeshi mengi yaliyorithi kutoka Uingereza) huruka baadhi ya vyeo na havitumiki kabisa katika jeshi letu. Nimeona niweke mtililiko kamili wa vyeo hivyo ili kuelewesha ni vyeo gani ambavyo havitumiki...
Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi yenye makao yake Makuu Mjini Babati Mkoani Manyara imepewa tuzo ya maalumu kutoka Chuo cha Ukamanda na Unadhimu (CSC) kwa kutambua mchango wa kampuni hiyo katika kusaidia jamii inayowazunguka Pamoja na kushirikiana na taasisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.