Kuna watu wengi wasioelewa mtililiko wa vyeo vya maafisa wa jeshi hasa kwa vile Jeshi letu (na majeshi mengi yaliyorithi kutoka Uingereza) huruka baadhi ya vyeo na havitumiki kabisa katika jeshi letu. Nimeona niweke mtililiko kamili wa vyeo hivyo ili kuelewesha ni vyeo gani ambavyo havitumiki...