Marekani ilitangaza Jumatano kuwa inaweka vikwazo kwa maafisa wanne wa Jeshi la Polisi la Uganda kutokana na tuhuma za kuhusika katika ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imewawekea vikwazo makamanda wa polisi, Bob Kagarura, Alex Mwine, Elly Womanya, na...