Wakuu,
Hivi hii mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya kuna shida gani?
Mbona kila siku maambukizi yako huku tu?
Akiwa anazungumza hivi karibuni ambaye ni Naibu Waziri-Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera Bunge na uratibu alisema:
"Bado kuna mikoa ina ushamiri mkubwa wa VVU kwa mfano Njombe, Iringa na Mbeya...
Wakuu,
Hivi si tuliambiwa kuwa ARV ziko za kutosha?
Na kwamba tusihofu Marekani kusitisha misaada kwa sababu serikali ina ARV zinazotosha? Sasa inakuaje tunapewa onyo kuwa maambukizi ya UKIMWI yataongezeka?
Au ndo yaleyale tuliambiwa Rais yuko fit alafu baada ya siku kadhaa tukatangaziwa...
"Kwa Mujibu wa utafiti huu wa mwaka 2022-2023 ambao umefanywa na na Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS) na TACAIDS kwa Kushirikiana na Wadau mbalimbali wa Maendeleo kuhusu Maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi Tanzania umebaini makundi mengine maalum ambayo ni hatari kwa maambukizi ya Virusi vya UKIMWI ni...
Hii hapa simulizi ya kusikitisha inayonihusu mimi, Inspector, ikigusa hisia kutokana na safari yangu ya kiafya:
---
Safari ya Maumivu na Tumaini la Mwisho.
Inspector nilikuwa kijana mwenye ndoto nyingi, niliyejawa na matumaini makubwa kuhusu maisha. Nikiwa chuoni Arusha, nilijikita katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.