maambukizi ya ukimwi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania bado ni ya 5 duniani kwa maambukizi ya UKIMWI. Usidanganyike na zile chudai za kavu kavu ukaona kawaida kuteleza. Jilinde na linda na wenzako

    Inawezekana kwa VVU kudumu miaka 8 bila kusababisha dalili zinazoonekana na baadhi ya watu huishi na VVU kwa miaka 10 bila kujua kwamba wana VVU. SOURCE: UNIAIDS
  2. JamiiForums Tanzania Dkt. Diwani Msemo: Ugonjwa wa Homa ya Ini unaambukiza haraka kuliko hata maambukizi ya UKIMWI

    https://www.youtube.com/live/AhPf5oKLqeA Mgeni wetu ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Ocean Road, Dkt. Diwani Msemo akizungumza na ST BONGO TV.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya UNAIDS 2025, Maambukizi ya UKIMWI kuongezeka hadi Millioni 6 na Vifo millioni 4 kwa Miaka minne ijayo

    Julai 10, 2025, kupitia ripoti ya UNAIDS iliyozinduliwa nchini Afrika Kusini, Mkurugenzi Mtendaji wa UNAIDS, Winnie Byanyima, alieleza hatua ya Marekani kusitisha ghafla ufadhili kupitia mpango wa PEPFAR imeacha pengo kubwa, na ikiwa dunia haitachukua hatua, watu milioni sita zaidi wanaweza...
  4. JamiiForums Tanzania WHO: Marekani kusitisha kugawa ARVs bure, itasababisha vifo vya watu Milioni 3

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limeonya maambukizi mapya ya HIV zaidi ya milioni 10 na vifo vya Watu milioni 3 vinavyohusiana na UKIMWI vinaweza kushuhudiwa kufuatia kusitishwa kwa msaada wa kigeni wa Marekani unaosaidia upatikanaji wa dawa za kufubaza makali ya virusi vya UKIMWI, ARVs...
  5. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu: Njombe, Iringa na Mbeya maambukizi ya VVU bado yapo juu

    Wakuu, Hivi hii mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya kuna shida gani? Mbona kila siku maambukizi yako huku tu? Akiwa anazungumza hivi karibuni ambaye ni Naibu Waziri-Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera Bunge na uratibu alisema: "Bado kuna mikoa ina ushamiri mkubwa wa VVU kwa mfano Njombe, Iringa na Mbeya...
  6. JamiiForums Tanzania UNAIDS: Maambukizi ya UKIMWI yanaweza kuongezeka mara 6 kufikia mwaka 2029

    Wakuu, Hivi si tuliambiwa kuwa ARV ziko za kutosha? Na kwamba tusihofu Marekani kusitisha misaada kwa sababu serikali ina ARV zinazotosha? Sasa inakuaje tunapewa onyo kuwa maambukizi ya UKIMWI yataongezeka? Au ndo yaleyale tuliambiwa Rais yuko fit alafu baada ya siku kadhaa tukatangaziwa...
  7. JamiiForums Tanzania Utafiti: Bodaboda, Wavuvi, Migodini makundi mapya kwa Maambukizi ya UKIMWI

    "Kwa Mujibu wa utafiti huu wa mwaka 2022-2023 ambao umefanywa na na Ofisi ya Takwimu ya Taifa (NBS) na TACAIDS kwa Kushirikiana na Wadau mbalimbali wa Maendeleo kuhusu Maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi Tanzania umebaini makundi mengine maalum ambayo ni hatari kwa maambukizi ya Virusi vya UKIMWI ni...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Maisha niliyoishi baada ya kuambukizwa UKIMWI na mpenzi wangu

    Hii hapa simulizi ya kusikitisha inayonihusu mimi, Inspector, ikigusa hisia kutokana na safari yangu ya kiafya: --- Safari ya Maumivu na Tumaini la Mwisho. Inspector nilikuwa kijana mwenye ndoto nyingi, niliyejawa na matumaini makubwa kuhusu maisha. Nikiwa chuoni Arusha, nilijikita katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…